myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Kuwa Makini na kile Unachokisema wakati una Hasira kwasababu Watu wanaweza Wakakusamehe, Lakini Wasisahau ulicho Kisema.
✔️✔️Kuwa Makini na kile Unachokisema wakati una Hasira kwasababu Watu wanaweza Wakakusamehe, Lakini Wasisahau ulicho Kisema.
✔️✔️✔️Kuwa Makini na kile Unachokisema wakati una Hasira kwasababu Watu wanaweza Wakakusamehe, Lakini Wasisahau ulicho Kisema.
📌📌Majaji wa mahakama ya New York wanaonekana kumuamini, kumpata rais huyo wa zamani na hatia ya mashtaka 34 yanayohusiana na kughushi rekodi za uhasibu ili kuficha malipo ambayo wakili wa Trump angemlipa Clifford kununua ukimya wake kuhusu uhusiano huo na hivyo kumlinda katika kampeni za uchaguzi 2016 .
✅️✅️✅️Shida ina weza kukupotezea Watu unao wahitaji, ila itakutunzia Watu wanao kuhitaji.!
✔️✔️✔️Mnamo 2000 alianza kazi yake kama muigizaji wa filamu za watu wazima na kampuni ya utengenezaji wa Wicked Pictures, ambayo alikuwa na kazi nzuri. Pia alishiriki katika filamu za Sin City Studios.
👍👍👍Alipoanza kujulikana zaidi, aliamua kuchukua jina la jukwaa. Akiwa shabiki wa bendi ya rock ya Motley Crue, aliamua kutoa pongezi kwa binti wa mpiga gitaa ya bezi wa kundi hilo, ambaye jina lake ni Storm. Jina la ukoo ni kwa heshima ya chapa ya whisky ya Jack Daniel.
SawaIkiwa huwezi kumshukuru Mungu mpaka upate Sababu, Basi nina kukumbusha tu kuwa Hai ni sababu tosha!
Poa sawaJifunze kuishi na Rafiki Mnafiki kulingana na unafiki wake. Punguza kuhifadhi takataka moyoni.
Kweli. HiliJifunze kuishi na Rafiki Mnafiki kulingana na unafiki wake. Punguza kuhifadhi takataka moyoni.
Kweli piaAkiwa mtoto, ndoto yake ilikuwa kuwa daktari wa mifugo, lakini baada ya talaka ya wazazi wake, alipokuwa na umri wa miaka 4, alilelewa na mama yake, ambaye alikuwa na wakati mgumu wa kusaidia familia kifedha.
Kweli kweliWeka ukomo kwenye kutoa Msaada maana wanaopokea hawana kikomo kwenye kuchukua.
Ni kweliShida ina weza kukupotezea Watu unao wahitaji, ila itakutunzia Watu wanao kuhitaji.!
AiseeMnamo 2004 alianza kazi ya kuwa mwelekezi wa filamu za ponografia katika kampuni ya Wicked Pictures na baadaye pia alifanya kazi kama mwandishi wa maelezo ya filamu kwenye skrini.
SawasawaYakobo 4:7Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.
Sawasawa 🙏🙏Yakobo 4:7Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.
✔️✔️Ikiwa shida haita tatuliwa kwa kugeuza Ukurasa, Suruhisho bora ni kubadilisha Kitabu.
📌📌Ikiwa shida haita tatuliwa kwa kugeuza Ukurasa, Suruhisho bora ni kubadilisha Kitabu.
📌Unaweza kuepuka baadhi ya Matatizo kwa Kusikiliza zaidi na kujibu kidogo.
📌📌📌Jina lake lilianza kujulikana miongoni mwa umma wakati mwaka wa 2018 alipofanya mahojiano na kipindi cha televisheni cha CBS cha 60 Minutes, ambapo alitoa maelezo ya madai yake ya ngono na Trump.