myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🙏Tumshukuru Kwa Neema zake
Wamchangie tu
AiseeBarua iliyotumwa kwa Jaji Juan Merchan siku ya Jumatatu inasema kwamba wasiwasi wa mahakama "hauhalalishi vizuizi vinavyoendelea" kwa haki ya uhuru wa kujieleza ya Trump.
SawaMawakili wa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump wamemtaka jaji anayesimamia kesi ya malipo ya fedha kwa nyota wa filamu za watu wazima mjini New York kuondoa amri aliyowekewa Trump dhidi ya kuzungumzia kesi hiyo hadi itakapokamilika.
SawasawaWakati wa kesi Jaji Merchan alimtoza Trump faini ya $10,000 (£7,800) kwa kukiuka agizo hilo la kutozungumzia kesi, na kutishia kumfunga jela ikiwa ataendelea
AiseeStormy Daniels ndilo jina la mwanamke aliyetawala katika kesi ya jinai ambayo Rais wa zamani Donald Trump alipatikana na hatia Alhamisi hii katika kesi ya kihistoria iliyofanyika Manhattan.
Aseme tu atakavyoMimi ni mtu asiye na hatia sana ," Trump alisema wakati akitoka nje ya mahakama, wakati wa kesi ya uchaguzi wa rais mnamo Novemba 5.
KweliUpendo huwa Unakufa taratibu kama anaye pendwa Hathamini juhudi za Mtu anaye Mpenda.
Kweli kabisaUpendo huwa Unakufa taratibu kama anaye pendwa Hathamini juhudi za Mtu anaye Mpenda.
SawasawaUpendo huwa Unakufa taratibu kama anaye pendwa Hathamini juhudi za Mtu anaye Mpenda.
SawaBaadhi Ya Marafiki Unaowapenda Wataondoka Na Haitokua Mwisho Wa Safari Yako Bali Itakua Mwisho Wa Safari Yao Kwenye Maisha Yako
KweliBaadhi Ya Marafiki Unaowapenda Wataondoka Na Haitokua Mwisho Wa Safari Yako Bali Itakua Mwisho Wa Safari Yao Kwenye Maisha Yako
NakubaliHakunaga Mahusiano yasiyo na Ugomvi usiwe unakimbilia Kuachana tu
✔️✔️Jina halisi ni Stephanie Gregory Clifford, ni mwigizaji wa zamani, mwandishi wa maandishi ya skrini na mkurugenzi wa filamu za ponografia , na anadai kuwa mwaka 2006 alikutana na Trump, wakati tayari alikuwa ameoana na mke wake wa sasa, Melania, kitu ambacho mara kwa mara alikanusha.