myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wapumzike kwa amani 🙏
Wapumzike kwa amani 🙏
Sawa
✔️Walinifanyia ukatili mkubwa "
Sikufahamu kabisa kwamba wanakwenda kunifunga kizazi. Baadaye nilifikiri kila mtu mwenye HIV alifungwa kizazi.
AiseeTutafutie ajira tujiondoe mitandaoni
View attachment 3010353
✔️✔️Walinifanyia ukatili mkubwa "
Sikufahamu kabisa kwamba wanakwenda kunifunga kizazi. Baadaye nilifikiri kila mtu mwenye HIV alifungwa kizazi.
✔️👍👍Baadaye nilipokwenda katika uchunguzi wa kawaida , nikaanza kuwasiliana , kuzungumza zaidi na watu kuhusu yaliyonisibu ambao walikuwa na hali kama yangu na pale wakanifahamisha kuwa kunifunga kizazi ni kinyume cha sheria na kwamba haki zangu zimekiukwa, kwamba hawangepaswa kunifunga uzazi.
👍👍Nilifikiria zaidi kuhusu ugonjwa wangu, nilifahamu tu utaratibu huo wakati nilipokuwa nikifuatilia taratibu za kuhakikisha kuwa mwanangu anazaliwa mwenye afya.
👍👍👍Baadaye nilipokwenda katika uchunguzi wa kawaida , nikaanza kuwasiliana , kuzungumza zaidi na watu kuhusu yaliyonisibu ambao walikuwa na hali kama yangu na pale wakanifahamisha kuwa kunifunga kizazi ni kinyume cha sheria na kwamba haki zangu zimekiukwa, kwamba hawangepaswa kunifunga uzazi.
👍✔️👍Baadaye nilipokwenda katika uchunguzi wa kawaida , nikaanza kuwasiliana , kuzungumza zaidi na watu kuhusu yaliyonisibu ambao walikuwa na hali kama yangu na pale wakanifahamisha kuwa kunifunga kizazi ni kinyume cha sheria na kwamba haki zangu zimekiukwa, kwamba hawangepaswa kunifunga uzazi.
👍✔️👍Kipaumbele change cha kwanza kilikuwa ni kumlinda mwanangu, kwahiyo niliamua kutumia daw azote, kufanya vipimo vyote kwasababu nilitakiwa kumlinda mwanangu.
Mwanzoni sikufikiria zaidi ya haki zangu au lolote
✔️✔️👍Kipaumbele change cha kwanza kilikuwa ni kumlinda mwanangu, kwahiyo niliamua kutumia daw azote, kufanya vipimo vyote kwasababu nilitakiwa kumlinda mwanangu.
Mwanzoni sikufikiria zaidi ya haki zangu au lolote
✅️Nilifikiria zaidi kuhusu ugonjwa wangu, nilifahamu tu utaratibu huo wakati nilipokuwa nikifuatilia taratibu za kuhakikisha kuwa mwanangu anazaliwa mwenye afya.