Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na wamemfanyia Allaah fungu katika mimea na wanyama Aliyoumba. Wakasema: Hili ni la Allaah kwa madai yao, na hili ni kwa ajili ya washirika wetu. Basi yaliyokuwa kwa ajili ya washirika wao hayamfikii Allaah. Na yaliyokuwa kwa ajili ya Allaah hufika kwa washirika wao. Uovu ulioje wanayoyahukumu!
 
Na hivyo ndivyo washirika (mashaytwaan) wao walivyowapambia washirikina wengi kuua watoto wao ili wawateketeze na wawakorogee dini yao. Na lau Allaah Angetaka, wasingeliyafanya hayo. Basi waachilie mbali na wanayoyatunga (ya uongo).
 
Na wakasema kwa madai yao: Wanyama hawa (ngamia) na mazao ni marufuku, hawatowala ila wale tuwatakao, na wanyama (hawa) imeharamishwa migongo yao (kuwapanda). Na wanyama (wengine) hawalitaji Jina la Allaah juu yao (wanapowachinja), wanamtungia uongo (Allaah). Atawalipa kwa yale waliyokuwa wakiyatunga.
 
Na wakasema: Waliomo matumboni mwa wanyama hawa ni makhsusi kwa wanaume wetu na marufuku kwa wake zetu. Lakini wakiwa ni nyamafu (wanapozaliwa), basi wanashirikiana katika hao (na wanawake kula). Hakika Atawalipa uvumishi wao. Hakika Yeye Ni Mwenye Hikmah wa yote, Mjuzi wa yote.
 
Naye (Allaah) Ndiye Aliyezalisha mabustani yanayotambaa na yasiyotambaa. Na mitende na mimea yenye kutofautiana ladha yake, na zaytuni na makomamanga yanayoshabihiana na yasiyoshabihiana. Kuleni katika matunda yake yanapotoa mazao na toeni haki yake (Zakaah) siku ya kuvunwa kwake na wala msifanye israfu. Hakika Yeye Hapendi wafanyao israfu.
 
Jozi nane: (za dume na jike) katika kondoo wawili na katika mbuzi wawili. Sema: Je, Ameharamisha wote madume wawili au majike mawili, au waliomo ndani ya fuko la uzazi mwa majike yote mawili? Nijulisheni kwa ilimu ikiwa nyinyi mnasema kweli.
 
Na katika ngamia wawili na katika ng’ombe wawili. Sema: Je, Ameharamisha madume wawili au majike mawili, au waliomo ndani ya fuko la uzazi mwa majike wawili? Au nyinyi mlishuhudia Allaah Alipokuusieni haya? Basi nani dhalimu zaidi kuliko yule anayemtungia Allaah uongo ili apoteze watu bila ilimu. Hakika Allaah Hawaongozi watu madhalimu.
 
Back
Top Bottom