Ukiishi maisha yanayoifanya furaha yako binafsi kuwa ndio lengo kuu la kuishi, unajipunguzia uwezekano wa kuwa mwenye furaha. Gusa maisha ya watu kwa matendo ya utu, upendo na hisani. Maisha yako yakiongeza thamani kwa watu, furaha itakufuata na itatosha kuwagawia na wengine."