myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeMwanamke huyo alidai kuwa kuna "dawa" ambayo gharama yake ni ya juu inayotarajiwa kuimarisha hali yake kiafya na pia aliweka picha mtandaoni inayomuonesha akiwa amelala kwenye kitanda hospitalini.
Duhmshitakiwa alianzisha kampeni ya kuchangisha pesa kupitia tovuti ya 'GoFundMe' ambako alisema ana wiki kadhaa tu za kuchangisha pesa ili akafanyiwe upasuaji nchini Uhispania.
Uongo mkubwaBen Irwin, mwendesha mashitaka, awali alielezea mahakama kuwa hatua za Bi. Elkabbas zilikuwa za kukusudia na "uongo mtupa".
SawaJaji Mark Weekes alisema Elkabbas ameshitakiwa kutokana na ushahidi uliotolewa ambao uko wazi na kwamba atarajie kuhukumiwa kifungo kwa kuzingatia sheria.
AiseeBaada ya "kulaghai" watu na kumchangia pesa walizodhani kwamba ni za matibabu, alichofanya ni kuzitumia vibaya pesa hizo kwa kusafiri nje ya nchi, kununua tiketi za kutazama mechi ya mpira wa soka moja kwa moja na kushiriki mchezo wa bahati na sibu mtandaoni, mwendesha mashitaka Bwana Irwin alisema hivyo mahakamani.
SawaBaada ya "kulaghai" watu na kumchangia pesa walizodhani kwamba ni za matibabu, alichofanya ni kuzitumia vibaya pesa hizo kwa kusafiri nje ya nchi, kununua tiketi za kutazama mechi ya mpira wa soka moja kwa moja na kushiriki mchezo wa bahati na sibu mtandaoni, mwendesha mashitaka Bwana Irwin alisema hivyo mahakamani.