Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na wamemfanyia Allaah fungu katika mimea na wanyama Aliyoumba. Wakasema: Hili ni la Allaah kwa madai yao, na hili ni kwa ajili ya washirika wetu. Basi yaliyokuwa kwa ajili ya washirika wao hayamfikii Allaah. Na yaliyokuwa kwa ajili ya Allaah hufika kwa washirika wao. Uovu ulioje wanayoyahukumu!
🤲🙏
 
20240606_203201.jpg
 
Watasema wale walioshirikisha: Lau Allaah Angetaka, tusingelifanya shirki, wala baba zetu pia na wala tusingeliharamisha chochote. Hivyo ndivyo walivyokadhibisha wale wa kabla yao mpaka walipoonja Adhabu Yetu. Sema: Je, mna ilimu yoyote mtutolee? Hamfuati isipokuwa dhana tu, nanyi si lolote ila mnabuni uongo.
Sawa
 
📌📌📌
 
Na kwa wale walio Mayahudi Tuliharamisha kila (mnyama) mwenye kucha. Na katika ng’ombe na mbuzi Tuliwaharamishia shahamu zao isipokuwa iliyobeba migongo yao au utumbo wao au iliyochanganyika na mifupa. Hivyo ndivyo Tulivyowalipa kwa baghi (dhulma) yao. Na bila shaka Sisi Ni Wakweli.
Sawa
 
Sema: Sipati katika yale niliyofunuliwa Wahyi kwangu kilichoharamishwa kwa mlaji kukila isipokuwa kiwe ni nyamafu au damu inayomwagika au nyama ya nguruwe, kwani hivyo ni vichafu, au kilichochinjwa kinyume na utiifu kwa Allaah kwa kutajiwa asiyekuwa Allaah. Lakini atakayefikwa na dharura bila ya kutamani wala kuvuka mipaka, basi hakika Rabb wako Ni Mwingi wa Kughufuria, Mwenye Kurehemu.
✅️✅️
 
📌📌
 
Na katika ngamia wawili na katika ng’ombe wawili. Sema: Je, Ameharamisha madume wawili au majike mawili, au waliomo ndani ya fuko la uzazi mwa majike wawili? Au nyinyi mlishuhudia Allaah Alipokuusieni haya? Basi nani dhalimu zaidi kuliko yule anayemtungia Allaah uongo ili apoteze watu bila ilimu. Hakika Allaah Hawaongozi watu madhalimu.
✅️✅️✅️
 
Back
Top Bottom