myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeMbinu alizotumia Anna kukabiliana na hali yake ni pamoja na kujipaka dawa, kusikiliza muziki na kutazama video akiwa ndani ya nyumba.
"Nikiwa peke yangu, nilihisi ninahukumiwa juu ya ngozi yangu lakini nikiwa nafanya kazi zangu nilijihisi kuwa mtu tofauti."
SawaHali haikuwa tofauti kwa Anna - angeonana na rafiki zake lakini kama yuko ndani tu.
"Kila wakati nilikutana na rafiki zangu ama kwetu au kwao lakini sio maeneo ya nje kwasababu niliona haya.
"Wakati mwingine unahisi wewe ni mzigo." Kwa wengine.
Apumzike kwa amani
Duh
✅️✅️Kuna baadhi ya magonjwa ambayo binadamu akiyapata hayawezi kamwe kupona, kulingana na wataalamu wa afya. Mengi kati ya magonjwa haya hayana uhusiano na tofauti za umri, na baadhi yana uhusiano wa moja kwa moja na umri wa mtu
✅️✅️✅️Kuna baadhi ya magonjwa ambayo binadamu akiyapata ha noyawezi kamwe kupona, kulingana na wataalamu wa afya. Mengi kati ya magonjwa haya hayana uhusiano na tofauti za umri, na baadhi yana uhusiano wa moja kwa moja na umri wa mtu.
SawaYafahamu magonjwa ambayo ukiyapata yanakuwa ya kudumu
✔️Wakati mwingine baadi ya magonjwa hurithishwa watoto lakini kuna mengine ambayo hayarithishwi kutoka kwa wazazi na unapoyapata huwezi kupona.
AiseeShikizo la damu
Shikizo la damu ni ugonjwa unaosababisha kuziba kwa mishipa fulani ya damu inayopeleka ujumbe kwenye ubongo na mara inaposhindwa kufanya kazi inaleta matatizo.
Shirika la afya duniani (WHO) linasema katika ripoti yake kwamba kuna watu milioni 1.13 wanaoishi na maradhi ya shinikizo la damu kote duniani na theruthi mbili ni watu wanaoishi maisha ya kiwango cha kati.
SawaShikizo la damu