Kuna baadhi ya magonjwa ambayo binadamu akiyapata ha noyawezi kamwe kupona, kulingana na wataalamu wa afya. Mengi kati ya magonjwa haya hayana uhusiano na tofauti za umri, na baadhi yana uhusiano wa moja kwa moja na umri wa mtu.
Kuna baadhi ya magonjwa ambayo binadamu akiyapata hayawezi kamwe kupona, kulingana na wataalamu wa afya. Mengi kati ya magonjwa haya hayana uhusiano na tofauti za umri, na baadhi yana uhusiano wa moja kwa moja na umri wa mtu
Figo zimeumbwa kuwa mbili. Kazi yake ni kuchuja maji machafu yanayotoka katika sehemu nyingine za mwili na kusafisha damu chafu na uchafu huo huenda moja kwa moja kupitia njia ya mkojo
Ugonjwa wa figo
Figo zimeumbwa kuwa mbili. Kazi yake ni kuchuja maji machafu yanayotoka katika sehemu nyingine za mwili na kusafisha damu chafu na uchafu huo huenda moja kwa moja kupitia njia ya mkojo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.