Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna aina za Kisukari (Diabetes).​

Kuna aina ya kwanza ya kisukari inayofahamika kama - Type 1- ambao mara nyingi watu wanaoupata huwa hawajaurithi kutoka kwa watu wa vizazi vya awali vya familia zao.
Aina hii ya kisukari mara nyingi huwapata watoto au vijana walio katika miaka 20 na chini ya miaka hiyo.
 
Kuna aina za Kisukari (Diabetes).
Kuna aina ya kwanza ya kisukari inayofahamika kama - Type 1- ambao mara nyingi watu wanaoupata huwa hawajaurithi kutoka kwa watu wa vizazi vya awali vya familia zao.

Aina hii ya kisukari mara nyingi huwapata watoto au vijana walio katika miaka 20 na chini ya miaka hiyo.
 
Wenye ugonjwa huu ni wachache duniani "kwasababu idadi yao haizidi watu milioni 1.2 kote duniani ," anasema dokta Salihu Kwaifa kutoka Nigeria.
Wenye aina hii ya kisukari huwa hawana sukari ya mwili (insulin) ya kutosha, na dalili zake zinatambuliwa haraka kama vile kupata haja ndogo mara kwa mara kiu na unywaji wa maji wa mara kwa mara kulingana na wataalamu.
 
Ugonwa huu husababishwa na maambukizi yanayoshambulia supu ya mfupa na huwapata watu kwa njia mbali mbali.
Wakati mwingine maambukiz haya husababishwa na bakteria ambao hutengeneza kimiminika katika eneo lililoathiriwa na wakati mwingine hutokea mtu anapopata jeraha alipokuwa mtoto na jeraha hilo kuongezeka anapokuwa katika umri wa utu uzima na jeraha hilo kurejea tena.
 
Ugonjwa huu unajitokeza kwa aina nyingi kuna matibabu ya awali ambayo huitwa Acute Arthritis ambayo hudumu kwa miezi miwili na ni rahisi kupona.

Kwa arthritis ya kudumu, kwa kawaida matibabu huchukua miezi sita au zaidi zaidi kwa mtu kupata nafuu.

Hakuna dawa inayotolewa hospitalini inayoweza kutibu maradhi haya, japo athari zake zinaweza kutulizwa.
 
Back
Top Bottom