myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
βοΈβοΈβοΈUgonwa huu husababishwa na maambukizi yanayoshambulia supu ya mfupa na huwapata watu kwa njia mbali mbali.
Wakati mwingine maambukiz haya husababishwa na bakteria ambao hutengeneza kimiminika katika eneo lililoathiriwa na wakati mwingine hutokea mtu anapopata jeraha alipokuwa mtoto na jeraha hilo kuongezeka anapokuwa katika umri wa utu uzima na jeraha hilo kurejea tena.
SawaKuna aina ya pili ya kisukari inayofahamika kama -Type 2 -aina hii huwapata watu wengi hususan watu wenye umri wa miaka kati ya 20 na 79.
Wataalamu wanakadiria kuwa kuna watu wapatao milioni 560 wanaoishi na aina hii ya kisukari duniani.
AiseeWenye ugonjwa huu ni wachache duniani "kwasababu idadi yao haizidi watu milioni 1.2 kote duniani ," anasema dokta Salihu Kwaifa kutoka Nigeria.
Wenye aina hii ya kisukari huwa hawana sukari ya mwili (insulin) ya kutosha, na dalili zake zinatambuliwa haraka kama vile kupata haja ndogo mara kwa mara kiu na unywaji wa maji wa mara kwa mara kulingana na wataalamu.
ππWenye ugonjwa huu ni wachache duniani "kwasababu idadi yao haizidi watu milioni 1.2 kote duniani ," anasema dokta Salihu Kwaifa kutoka Nigeria.
Wenye aina hii ya kisukari huwa hawana sukari ya mwili (insulin) ya kutosha, na dalili zake zinatambuliwa haraka kama vile kupata haja ndogo mara kwa mara kiu na unywaji wa maji wa mara kwa mara kulingana na wataalamu.
Sawasawa kabisaMambo yanayosababisha shinikizo la damu:
- Kuongezeka kwa ukubwa na uzito wa mwili
- Msongo wa mawazo
- Unywaji wa pombe
- Ulaji wa chumvu nyingi
- Maradhi ya ubongo ya Alzheimer
- Ulaji wa vyakula vya mafuta
- Kutopumzika vya kutosha hasa usiku
- Ukosefu wa mazoezi ya mwili
SahihiKuna aina za Kisukari (Diabetes).
Kuna aina ya kwanza ya kisukari inayofahamika kama - Type 1- ambao mara nyingi watu wanaoupata huwa hawajaurithi kutoka kwa watu wa vizazi vya awali vya familia zao.
Aina hii ya kisukari mara nyingi huwapata watoto au vijana walio katika miaka 20 na chini ya miaka hiyo.
β οΈβ οΈKuna aina za Kisukari (Diabetes).
Kuna aina ya kwanza ya kisukari inayofahamika kama - Type 1- ambao mara nyingi watu wanaoupata huwa hawajaurithi kutoka kwa watu wa vizazi vya awali vya familia zao.
Aina hii ya kisukari mara nyingi huwapata watoto au vijana walio katika miaka 20 na chini ya miaka hiyo.
AiseeUvutaji wa sigara: Tafiti zinaonesha kuwa uvutaji wa sigara unaweza kusababisha ugonjwa huu, na kuufanya uwe mbaya zaidi.
πWatu wanaweza kusema unabahati tu Bila kujua ni juhudi kiasi gani zilitumika kabla
KweliWatu wanaweza kusema unabahati tu Bila kujua ni juhudi kiasi gani zilitumika kabla
SawaUsiogope kujaribu kitu kipya. Gharama ya kuridhika na kile kile inaweza kuwa kubwa zaidi kuliko gharama ya kuthubutu kitu kipya
SawaUsipoteze Tumaini uwe na moyo wa Ujasiri MUNGU aliyeonekana Jana kwa wengine ndiye atakaye simama kesho katika Maisha yako
KweliUsiogope kujaribu kitu kipya. Gharama ya kuridhika na kile kile inaweza kuwa kubwa zaidi kuliko gharama ya kuthubutu kitu kipya
SawaIshi na watu kulingana na tabia zao zilivyo ila kamwe Usikubali kuvumilia kila kitu kutoka kwao
SawasawaHatujawahi kumiliki chochote cha thamani zaidi ya uhai tulionao leo.kwa maana sisi ni wa MUNGU
ππHakuna Maisha magumu hapa Duniani kama maisha ya kutamani kumfurahisha kila mtu..Utateseka mno
ππUnene na uzito wa mwili wa kupita kiasi: Ukubwa wa mwili unahusishwa na matatizo mbali mbali ya afya. Kuna kitu kimoja kinachopunguza hatari ya maambukizi kwa mwanamke- Kunyonyesha kunapunguza hatari ya maambukizi kwa mwanamke, wanasema wataalamu wa afya.
DuhUzazi : Wanawake ambao hawazai wanakabiliwa na hatari kubwa kuliko waliozaa.