Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Asante, nawe pia🙏Muwe na wikiend njema
SawaMatatizo hujitokeza pale kila mmoja wa wanandoa anaporithi magonjwa ya urithi kutoka kwa wazazi wapo.
Ni kwanini maumbile ni muhimu sana kwa ndugu
SawaMaeneo yenye ndoa nyingi za ndugu wa damu kama vile kaskazini mwa Nigeria yana idadi kubwa ya magonjwa ya urithi , anasema daktari.
"Aina hii ya saratani ya macho ni jambo la kawaida kwa watoto wachanga , na hutokea mara nyingi miongoni mwa watoto wanaozaliwa kwa wazazi wenye undungu na hivyo kuendelea katika vizazi hadi vizazi, '' anasema.
✔️Maeneo yenye ndoa nyingi za ndugu wa damu kama vile kaskazini mwa Nigeria yana idadi kubwa ya magonjwa ya urithi , anasema daktari.
"Aina hii ya saratani ya macho ni jambo la kawaida kwa watoto wachanga , na hutokea mara nyingi miongoni mwa watoto wanaozaliwa kwa wazazi wenye undungu na hivyo kuendelea katika vizazi hadi vizazi, '' anasema.
✔️✔️Ugonjwa huo hujitokeza katika eneo la jicho inayomsaidia mtu kuona, halafu mtoto huurithi na inaendelea kukua, wakati mtoto anapoanza kutembea.
Kwa mujibu wa daktari , ndoa za watu wenye undugu wa damu huwasababishia watoto matatizo kama hayo.
✔️✔️✔️Ugonjwa huo hujitokeza katika eneo la jicho inayomsaidia mtu kuona, halafu mtoto huurithi na inaendelea kukua, wakati mtoto anapoanza kutembea.
Kwa mujibu wa daktari , ndoa za watu wenye undugu wa damu huwasababishia watoto matatizo kama hayo.