Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Au mkaseme: Lau tungeliteremshiwa Kitabu basi bila shaka tungelikuwa tumehidika zaidi kuliko wao. Kwa yakini imekwishakufikieni hoja bayana kutoka kwa Rabb wenu na mwongozo na rahmah. Hivyo basi nani ni dhalimu zaidi kuliko yule aliyekadhibisha Aayaat za Allaah na akajitenga nazo? Tutawalipa wale wanaojitenga na Aayaat Zetu adhabu ovu kwa sababu ya kujitenga kwao.
✅️✅️
 
Anapofikiria alipotoka kwenye mashine zilizokuwa zinausaidia mwili wake hospitalini, anafahamu ni mapenzi ya mwenyezi Mungu kwamba yuko hai leo .

"Siku moja kabla ya upasuaji, mmoja wa madaktari wa upasuaji alinishika mkono na kuniombea. Hii ilisaidia sana kupunguza wasiwasi wangu. Ujuzi na maarifa yaliyoonyeshwa na timu nzima yalikuwa vya kushangaza. Ninawashukuru milele kwa matibabu ya kubadilisha maisha niliyopokea," anasema Jahmby.
Sawa
 
Na wala msiikaribie mali ya yatima isipokuwa kwa njia njema ya manufaa mpaka afikie umri wa kupevuka. Na timizeni kipimo na mizani kwa uadilifu. Hatukalifishi nafsi isipokuwa kadiri ya uwezo wake. Na mnaposema basi fanyeni uadilifu japokuwa ni jamaa wa karibu. Na timizeni Ahadi ya Allaah. Hivyo ndivyo Alivyokuusieni (Allaah) kwayo mpate kukumbuka.
Sawa
 
Sema: Njooni nikusomeeni yale Aliyoyaharamisha Rabb wenu kwenu. Kwamba msimshirikishe na chochote, na muwafanyie ihsaan wazazi wawili, na wala msiwaue watoto wenu kutokana na umasikini. Sisi Tunakuruzukuni pamoja nao. Na wala msikaribie machafu yaliyo dhahiri na yaliyofichika. Na wala msiue nafsi ambayo Allaah Ameiharamisha (kuiua) isipokuwa kwa haki (ya sharia). Hivyo ndivyo Alivyokuusieni kwayo mpate kutia akilini.

Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na​

  • Maumivu ya kuchoma sehemu ya kiuno
  • Makovu maeneo ya uzazi
  • Mwanamke kukosa uwezo wa kushika mimba
  • Maumivu makali kabla au baada ya hedhi
  • Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
  • Maumivu ya tumbo, mgongo na maeneo ya mafupa nyonga (pelvis)
  • Maumivu unapotaka kwenda kujisaidia/kwenda haja ndogo
  • Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi, damu hiyo inaweza kuwa au kutokuwa na mabonge.
  • Kuwa na hedhi ya muda mrefu isivyo kawaida.
  • Kupata hedhi kabla ya muda wa kawaida
Sawasawa
 
Lakini pia kuna upasuaji mmoja ambao sitowahi kuusahau huu ulikuwa wa dharura, kabla sijaondoka hospitalini. Iligunduliwa tena kuwa nilikuwa na maji kwenye mapafu yangu. Tayari nilikuwa nimepitia uchungu mwingi wa kuondolewa maji, ila mchakato wa kujaribu tena kutoa maji yale nusura unitoe uhai wangu," Jahmby anakumbuka.
✅️✅️✅️
 
Back
Top Bottom