myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌Ndugu kutoka katika familia moja wanakiwango cha juu cha jeni zinzazofanana . Molekuli pia ni mhumili unaodhibiti mwili.
Jeni hutengeneza na kudhibiti rangi ya macho na ukubwa pamoja na ukubwa wake pamoja na ukubwa wa miguu , mikono yetu na sehemu nyinginezo za mwili.
SawaMagonjwa mengine ya urithi yaliyoelezewa na mtaalamu huyo kama matokeo ya ndoa ya watu wa familia moja ni pamoja na : magonjwa ya akili na ulemavu wa maumbile.
Kwamujibu wa daktari , utafiti umeonesha kuwa ndoa za watu wenye uhusiano wa damu yanaweza kuongeza magonjwa ya urithi kama vile shinikizo la damu.
SawaMatatizo ya hutokea kunapokuwa na utofauti wa jeni katika familia na wazazi wote wawili wana jeni sawa. Kama katika familia wengine wanaoana kuna uwezekano wa watoto wao kurithi jeni hii kutoka kwa wazazi wote wawili.
Dkt Ibrahim amesema kwasababu tayari wazazi walikuwa katika familia na kuendelea kuoana, ugonjwa utaendelea kusambaa kupitia kizazi.

AiseeKuzaliwa kwa mtoto mwenye ulemavu
NHS inasema kuwa kuna matatizo ya urithi ya kiafya katika jamii nyingi. Na katika jamii zinazooa wake wengi wana uwezekano mkubwa wa watoto wao kurithi matatizo hayo.
Kwa mujibu wa NHS jamii ya wazawa wa Pakistani nchini Uingereza wana uwezekano mkubwa wa kuoana miongoni mwa Umwao wana uwezekano wa kupata watoto wenye kasoro za kimaumbile.
📌📌Mambo mengi huwa tunayarithi kutoka kwa wazazi wetu , sawa na tunavyorithi magonjwa kutoka kwao, kupitia jeni zao.
Hii inaweza kuathiri jamii nyingi, lakini athari hizi huzipata familia zenye ndoa kati ya ndugu wa damu au ukoo mmoja.
✔️✔️Kuzaliwa kwa mtoto mwenye ulemavu
NHS inasema kuwa kuna matatizo ya urithi ya kiafya katika jamii nyingi. Na katika jamii zinazooa wake wengi wana uwezekano mkubwa wa watoto wao kurithi matatizo hayo.
Kwa mujibu wa NHS jamii ya wazawa wa Pakistani nchini Uingereza wana uwezekano mkubwa wa kuoana miongoni mwa Umwao wana uwezekano wa kupata watoto wenye kasoro za kimaumbile.
📌Kuoana kati ya watu wenye uhusiano wa karibu wa damu ni jambo la kawaida miongoni mwa makabila mbalimbali, huku baadhi yao wakifanya hivyo ili kuimarisha uhusiano ndani ya familia na wengine wakifanya hivyo ili mali ya familia ibaki ndani ya familia au ukoo
✔️✔️Matatizo hujitokeza pale kila mmoja wa wanandoa anaporithi magonjwa ya urithi kutoka kwa wazazi wapo.
Ni kwanini maumbile ni muhimu sana kwa ndugu
SawaLakini inasema hata hivyo kwamba , ndoa kama vile za wapwa na wapwa au mabinamu na mabinamu zinauwezekano mkubwa wa kusababisha matatizo ya kiafya kwa watoto wanaowazaa kwa asilimia tatu hadi sita , lakini matatizo haya hayatokei mara kwa mara.
AiseeLakini inasema hata hivyo kwamba , ndoa kama vile za wapwa na wapwa au mabinamu na mabinamu zinauwezekano mkubwa wa kusababisha matatizo ya kiafya kwa watoto wanaowazaa kwa asilimia tatu hadi sita , lakini matatizo haya hayatokei mara kwa mara.
📌📌Licha ya kwamba ripoti ya kina ya huduma za afya za Uingereza (HHS) kuhusiana na suala hilo inasema kuwa ni mara chache kwa watoto waliozaliwa katika familia za wazazi wenye undugu , na kwamba wengi wao huzaliwa wakiwa na afya ya kawaida.
✔️✔️Kwa mfano mwanamke ambaye ameolewa na kaka yake au mwanaume kutoka familia sawa na yake ana uwezekano mkubwa wa kupata matatizo ya kiafya ya watoto wake.
SawaDkt Ibrahim Musa, ambaye ni mtaalamu wa sayansi ya damu, damu inayotengeneza viungo vya ndani ya mwili na magonjwa ya damu katika hospitali ya Malam Aminu Kano kaskazini mwa Nigeria , anasema ndao ya watu wenye uhusiano wa damu inauwezekano mkubwa wa kusababisha hatari ya magonjwa ya urithi kutoka kwa wazazi
✅️Kwa mfano, ugonjwawa seli mundo( sickle celll) ambao mara nyingi mtu huurithi kutoka kwa wazazi, inapotokea kwamba mtu wa familia anaolewa na mtu kutoka familia yenye ugonjwa huo, inakuwa ni rahisi sana kuendlea kuusambaza hata kwa vizazi vyao.
✅️✅️Jeni za ndugu
Jarida la masuala ya afya la Lancet mwaka 2013, linasema kuwa jeni za wanandoa zinaweza kumuathiri mmoja wao, bila kujali kabila au jamii atokayo.
SawaJeni za ndugu
Jarida la masuala ya afya la Lancet mwaka 2013, linasema kuwa jeni za wanandoa zinaweza kumuathiri mmoja wao, bila kujali kabila au jamii atokayo.
AiseeDkt Ibrahim Musa, ambaye ni mtaalamu wa sayansi ya damu, damu inayotengeneza viungo vya ndani ya mwili na magonjwa ya damu katika hospitali ya Malam Aminu Kano kaskazini mwa Nigeria , anasema ndao ya watu wenye uhusiano wa damu inauwezekano mkubwa wa kusababisha hatari ya magonjwa ya urithi kutoka kwa wazazi
✅️✅️✅️Mtaalamu huyo pia anasema kwamba kuna magonjwa ya urithi ambayo husababishwa na kuoana kwa watu wa familia moja bila wao kufahamu.
✅️✅️Na kwamba hii ndiyo njia Yangu iliyonyooka, basi ifuateni. Na wala msifuate njia nyinginezo zitakufarikisheni na Njia Yake. Hivyo ndivyo Alivyokuusieni (Allaah) kwayo mpate kuwa na taqwa.