myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️Wakati wa upasuaji, mapafu yangu yalizua changamoto kubwa kwa madaktari kwani mapafu yangu ya kulia yalikuwa yanaporomoka mara kwa mara. Shida hii na zingine nilizozipata, pamoja na moyo wangu kuwa na matatizo na hata mfumo wa meno yangu, ilihitaji ufuatiliaji wa karibu na madaktari na wauguzi," anasema.
SawaWakati wa upasuaji, mapafu yangu yalizua changamoto kubwa kwa madaktari kwani mapafu yangu ya kulia yalikuwa yanaporomoka mara kwa mara. Shida hii na zingine nilizozipata, pamoja na moyo wangu kuwa na matatizo na hata mfumo wa meno yangu, ilihitaji ufuatiliaji wa karibu na madaktari na wauguzi," anasema.
SawaBaadhi walinukuliwa kwenye baadhi ya mitandao nchini Kenya kwa madai kuwa alikuwa ameaga dunia akiwa hospitalini Marekani.
Ila kile ambacho watu wengi walikuwa hawajui ni kuwa Jahmby alikuwa anapigania uhai wake akiwa chumba cha upasuaji mara kwa mara.
SawaBaadhi walinukuliwa kwenye baadhi ya mitandao nchini Kenya kwa madai kuwa alikuwa ameaga dunia akiwa hospitalini Marekani.
Ila kile ambacho watu wengi walikuwa hawajui ni kuwa Jahmby alikuwa anapigania uhai wake akiwa chumba cha upasuaji mara kwa mara.
👍Haya yakifanyika hospitalini asijue kuwa kuna watu waliokuwa tayari wameanza kuzungumza huku na kule wakisema kuwa hatarudi akiwa hai.
Jahmby anasema alitengwa na baadhi ya marafiki wa karibu mno naye.
SawaAlijitosa kwenye utangazaji na akawa amesifika nchini Kenya kwa mtindo wake wa kupeperusha habari na masuala yanayohusu mziki na maisha ya wafuasi wa nyimbo za mtindo wa reggae na miondoko yake.
Kati ya 2015-2007, hali yake ilidhoofisha afya yake mno, kiasi cha kuathiri utendakazi wake .
SawaMambo yakawa mabaya kuliko vile alivyofikiria. Matibabu yake ambayo yalihusisha upasuaji mara kadhaa yalikumbwa na changamoto na mapafu yake yalikuwa yameathiriwa na kuingiliwa na seli za hedhi.
Hali hii ilizidisha ugumu wa matibabu.
AiseeWakati huo nilikuwa nimedhoofika mno kiafya , lakini sikukata tamaa ya kuwa ningepona na kurejelea ndoto zangu," anasema Jahmby
Alipokuwa anasafiri kwenda Marekani kupata matibabu, alifikiri atakuwa hospitalini kwa siku tatu na atarudi Kenya baada ya mwezi.
👍👍Wakati huo nilikuwa nimedhoofika mno kiafya , lakini sikukata tamaa ya kuwa ningepona na kurejelea ndoto zangu," anasema Jahmby
Alipokuwa anasafiri kwenda Marekani kupata matibabu, alifikiri atakuwa hospitalini kwa siku tatu na atarudi Kenya baada ya mwezi.
Waridi wa BBC: Sikudhani ningetoka hospitalini nikiwa hai
👍👍👍Masomo yake hususani ya chuo kikuu yalikumbwa na misukosuko mingi tu , na wakati mwingi alikuwa hawezi kumakinika chuoni wakati wa hedhi yake.
Anakumbuka nyakati ambazo karatasi za mtihani zingekuwa mbele yake lakini kwa uchungu angekosa kuandika chochote.
SafiiiiiMasomo yake hususani ya chuo kikuu yalikumbwa na misukosuko mingi tu , na wakati mwingi alikuwa hawezi kumakinika chuoni wakati wa hedhi yake.
Anakumbuka nyakati ambazo karatasi za mtihani zingekuwa mbele yake lakini kwa uchungu angekosa kuandika chochote.
SafiiiiiKwani wakati huo hakuna aliyefahamu tatizo lake.
Wakati huo ilikuwa kama siri ya jamii yake Jahmby lakini pindi alipoendelea kukomaa uchungu na kasi ya damu ya hedhi vilizidi.
Safiiiii sanaJahmby alilelewa na mama yake pamoja na bibi , na anasema walimfundisha haja ya kuwa mvumilivu na mkakamavu katika kila hali za maisha. Na kwa hivyo, nyakati za hedhi jamii yake ilimtaka atumie dawa za kumsaidia kustahimili uchungu ulioandamana na hedhi.
✅️✅️✅️Jahmby Koikai alipoanza kupata hedhi akiwa na miaka 13, badala ya kuanza awamu ya matumaini maishani, alianza kipindi kigumu cha mahangaiko ya kila mara.
✔️👍Jahmby alilelewa na mama yake pamoja na bibi , na anasema walimfundisha haja ya kuwa mvumilivu na mkakamavu katika kila hali za maisha. Na kwa hivyo, nyakati za hedhi jamii yake ilimtaka atumie dawa za kumsaidia kustahimili uchungu ulioandamana na hedhi.
📌📌Endometriosis ni ugonjwa ambao huhusisha seli zinazofaa kuwa ndani ya mji wa uzazi kuwa nje ya mji huo.
"Sikuwahi kufikiria kuwa siku yangu ya kwanza kuanza kupata hedhi ningeweza kuanza kupata maumivu makali ambayo yamekuwa ni vita vikali katika maisha yangu," anasema Jahmby.