myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌Hiyo ni kwasababu iwapo mbu hawatoambukizwa ugonjwa huo hawataweza kusambaza ugonjwa huo kwa wanadamu.
Vifo kutokana na ugonjwa huo vimepungua kwa asilimia 60 hatua iliowaokoa zaidi ya watu milioni 7 tangu 2000 kulingana na WHO lakini shirika hilo linasisitiza kwamba kunahitajika uwekezaji mkubwa katika vita dhidi ya Malaria iwapo ugonjwa huo utaangamizwa kufikia 2050.