myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌Hiyo ni kwasababu iwapo mbu hawatoambukizwa ugonjwa huo hawataweza kusambaza ugonjwa huo kwa wanadamu.
Vifo kutokana na ugonjwa huo vimepungua kwa asilimia 60 hatua iliowaokoa zaidi ya watu milioni 7 tangu 2000 kulingana na WHO lakini shirika hilo linasisitiza kwamba kunahitajika uwekezaji mkubwa katika vita dhidi ya Malaria iwapo ugonjwa huo utaangamizwa kufikia 2050.
✅️Hiyo ni kwasababu iwapo mbu hawatoambukizwa ugonjwa huo hawataweza kusambaza ugonjwa huo kwa wanadamu.
Vifo kutokana na ugonjwa huo vimepungua kwa asilimia 60 hatua iliowaokoa zaidi ya watu milioni 7 tangu 2000 kulingana na WHO lakini shirika hilo linasisitiza kwamba kunahitajika uwekezaji mkubwa katika vita dhidi ya Malaria iwapo ugonjwa huo utaangamizwa kufikia 2050.
✅️✅️Katika kanda hiyo ya video, Beckham anaonekana kuwa mzee akizungumza katika siku za usoni ambapo ugonjwa huo umeangamizwa.
📌📌Mnamo mwezi Mei 2020 wanasayansi waligundua kinga ya kuwalinda mbu dhidi ya Malaria.
Timu ya Kenya na ile ya Uingereza zilisema kwamba ugunduzi huo una uwezo mkubwa wa kudhibiti ugonjwa huo.
📌📌Kwa sasa kuna chanjo dhidi ya ugonjwa huo ambao inapunguza idadi ya wagonjwa kwa asilimia 40.
Mpango wa miaka mitatu wa kusambaza dawa hiyo ulianza barani Afrika katika mataifa ya Malawi, Kenya na Ghana 2019.
✅️✅️✅️Kwa sasa kuna chanjo dhidi ya ugonjwa huo ambao inapunguza idadi ya wagonjwa kwa asilimia 40.
Mpango wa miaka mitatu wa kusambaza dawa hiyo ulianza barani Afrika katika mataifa ya Malawi, Kenya na Ghana 2019.
✔️✔️Tangazo hilo lililofanywa na Charity of Malaria No More Uk limetengenezwa hali ya kwamba linawashinikiza watu kote duniani kuendelea na juhudi za kuangamiza ugonjwa huo kabisa.
✅️✅️✅️Anasema kwamba Watoto wake mwenyewe walimuuliza iwapo ugonjwa huo unaweza kuangamizwa wakati wa kizazi chao na aliwajibu ndio utaangamizwa iwapo kutakuwa na ushirikiano mkubwa, uongozi bora pamoja na kutia bidii."
BidiiAnasema kwamba Watoto wake mwenyewe walimuuliza iwapo ugonjwa huo unaweza kuangamizwa wakati wa kizazi chao na aliwajibu ndio utaangamizwa iwapo kutakuwa na ushirikiano mkubwa, uongozi bora pamoja na kutia bidii."
Hii hatariiiii
Sawa Sawa tuVita kubwa na kali sana inanukia Duniani
View attachment 3021024