moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AiseeMkoani Tabora nchini Tanzania wanawake wamekua wakitumia Tumbaku ili kupunguza hamu ya tendo la ndoa. Huweka sehemu ya siri kisha kuitoa baada ya muda.
AiseeMkoani Tabora nchini Tanzania wanawake wamekua wakitumia Tumbaku ili kupunguza hamu ya tendo la ndoa. Huweka sehemu ya siri kisha kuitoa baada ya muda.
SawaWaswahili husema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, Je unajua matumizi yote ya tumbaku ?
SawaJenerali Juan Jose Zuniga atiwa mbaroni baada ya jaribio lake la kupindua utawala Luis Arce kudhibitiwa huko Bolivia.View attachment 3027827