myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
03:10
Nipo mkuu. Saa tisa hii mkuu ushaamka? Au una Mshana Jr. kwenye operesheni maalum huko Msata?Shimba ya buyenze..heshima kwako
HahahahaNipo mkuu. Saa tisa hii mkuu ushaamka? Au una Mshana Jr. kwenye operesheni maalum huko Msata?
Jaza ujaziwe
Ugeni kutoka US huo bila shaka. Kugawana madola tu bila shaka.Niko na ugeni mkubwa
Europe aiseeUgeni kutoka US huo bila shaka. Kugawana madola tu bila shaka.
Imekuwaje leo uko macho saa hizi?Ugeni kutoka US huo bila shaka. Kugawana madola tu bila shaka.