Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Jambo zuriAdui aangukapo mnyanyue.
Jambo zuriAdui aangukapo mnyanyue.
Nzuri moudgulfHabari zenu
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Dunia hayupoAsiyekosa hakoselewi.
Morning Kichwa kichafu niaje mkuuGood morning mzee wa liver
Hapo sawqAsiyekosa hayupo.
AminaSiku njema kwako mkuu
Nacheki post za nyuma ziko vizuriWamekichafua
PairedChui naye ana mkwewe.
150 this weekend144k loading
HahhahahaFimbo huvunja mfupa, haivunji kilema.
Tayari mkuuWageni wameshafika?
Nyama nyamaHata matumbo ni nyama.
Kama mswaki na mtumiaji[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila mlango na ufunguo wake.
KabisaKila kufuli na ufunguo wake.
Direction tu ndio zimetofautianaKila nyumba na mlango wake.
Kweli kqbisa wahenga walisemaKila shetani na mbuyu wake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] isije kuwa unaifungia kwenye droo ya gari.Nakutakia kazi njema brotherNajaribu kupambana na uzi huu. Na sasa nazima simu kabisa na kuingia chimbo kwa masaa sita yajayo. Na simu naifungia kwenye kabati. Na funguo nazificha!
Cocochanel mama wa methali nakuona morning my princess
@mshara jr katika kitengo chake[emoji23] [emoji23]