Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
HahqhahahKuku mwenye watoto halengwi jiwe.
KabisqMchezo wenu ndio mauti yetu.
Tutende memaMema hayaozi.
Duh mibuyu yote ina mashetani
UsimtusiMjinga ni mtu usinene ni ng'ombe.
HatariMkuki (or kigumba) kwa nguruwe kwa mwanadamu [wa] uchungu.
Dunia hayupo
KweliMkuki kwa nguruwe matamu, una uchungu kwa binadamu
Watenda wema maadui wengiMtenda mema hulipwa maovu.
morning brazaNa makucha yake Good morning The chosen one
Najaribu kupambana na uzi huu. Na sasa nazima simu kabisa na kuingia chimbo kwa masaa sita yajayo. Na simu naifungia kwenye kabati. Na funguo nazificha!
Kweli kabisaMtenda mema mabaya kamwangukia.
SawqNdege njema, uenende ukale na vipofu.
HahahqhqaNg'ombe wa maziwa hakai zizini.
KweliNjema zaua.
Watenda wema maadui wengi
Tunaziona mkuuMethali hizoooo
Uvumilivu ndicho tatizoRahisi kuwa mwema kama huchokozwi.
HahhqhaaSalamu hurudishiwa salamu.
WivuSi lazima kuzimia taa ya mwenzio ili yako ionekane.