Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tabia zako mbaya ndio zinakukwamisha, Kama kijana kuna namna Inabidi tubadilike sasa, Sio kila sehemu ni yakuvimba au kila mtu wa kumvimbia. Hii kauli ya Umaskini Jeuri Inatukosesha Fursa Nyingi sana.