myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeHii nchi ukikonda kwa stress za mapenzi wanajua, Ikiwa ni kwa maradhi pia wanajua, Ukikonda kwa Diet pia wanajua. Yaani watajua Tu.
Kwa MunguHatuna tena watu wa kuwaeleza matatizo yetu. Kimbilio limebaki moja tu MUNGU pekee.
SawaHatuna tena watu wa kuwaeleza matatizo yetu. Kimbilio limebaki moja tu MUNGU pekee.
Kwa MUNGU pekeeHatuna tena watu wa kuwaeleza matatizo yetu. Kimbilio limebaki moja tu MUNGU pekee.
SawaZaliwa kama mtu. Kufa kama Taasisi, Soma tena ili uelewe.
KweliTabia zako mbaya ndio zinakukwamisha, Kama kijana kuna namna Inabidi tubadilike sasa, Sio kila sehemu ni yakuvimba au kila mtu wa kumvimbia. Hii kauli ya Umaskini Jeuri Inatukosesha Fursa Nyingi sana.
SawaZaliwa kama mtu. Kufa kama Taasisi, Soma tena ili uelewe.
Focus.....Hata ukilia machozi hayawezi kumaliza matatizo yako, Focus.
SawasawaTabia zako mbaya ndio zinakukwamisha, Kama kijana kuna namna Inabidi tubadilike sasa, Sio kila sehemu ni yakuvimba au kila mtu wa kumvimbia. Hii kauli ya Umaskini Jeuri Inatukosesha Fursa Nyingi sana.
✔️✔️Hata ukilia machozi hayawezi kumaliza matatizo yako, Focus.
Chuki mbayaChuki imetawala sana kwenye mafanikio, Jitahidi uwe msiri wa Mipango yako.
✔️✔️Hata ukilia machozi hayawezi kumaliza matatizo yako, Focus.
KweliMaumivu ni mengi sana kwenye nafsi zetu, Tumebeba mambo mengi ambayo Hatujui ni wapi sehemu sahihi pakwenda kueleza, Na hii ndio sababu ya vijana wengi tunaishi na msango wa mawazo. Utaye mueleza naye anakutangaza.
Nakubaliana na hiliTumepewa siku nyingine tena ya kujaribu kete yetu ya bahati, Kama jana ulikosa umepata bahati ya kuiona leo Amka ukapambane Tena.
NakubalianaTumepewa siku nyingine tena ya kujaribu kete yetu ya bahati, Kama jana ulikosa umepata bahati ya kuiona leo Amka ukapambane Tena.
SawaMafanikio yoyote katika Maisha yanaanza katika kuifikirisha Akili, kabla ya kutaabisha nguvu za Kimwili"
Hii SawasawaMaumivu ni mengi sana kwenye nafsi zetu, Tumebeba mambo mengi ambayo Hatujui ni wapi sehemu sahihi pakwenda kueleza, Na hii ndio sababu ya vijana wengi tunaishi na msango wa mawazo. Utaye mueleza naye anakutangaza.
Kweli kabisaMafanikio yoyote katika Maisha yanaanza katika kuifikirisha Akili, kabla ya kutaabisha nguvu za Kimwili"
Nakubaliana na hili piaMafanikio yoyote katika Maisha yanaanza katika kuifikirisha Akili, kabla ya kutaabisha nguvu za Kimwili"