myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaShangilia Mambo yote kwa hii Dunia ila Sio kushangilia Anguko La Mtu Mwingine.
AiseeUkisema usivuruge mipango yako ili usaidie wengine, Hautakuja kusaidia watu hadi siku unakufa.
Kweli kabisaKatika Biashara faida inapangwa lakini hasara haipangwi inatokea tu . Hivyo usiogope vitu vinavyotokea Tu.
✔️✔️✔️Mafanikio hayataki watu waoga. Yanata watu wa Liwalo na Liwe.
✔️✔️✔️Katika Biashara faida inapangwa lakini hasara haipangwi inatokea tu . Hivyo usiogope vitu vinavyotokea Tu.
Fursa.....Sehemu Penye malalamiko mengi, ndipo penye fursa nyingi.
✅️Ikiwa umepewa neema itumie sasa kwa sababu Muda una tabia ya kupoteza thamani ya vitu
Ndio hivyoBinadamu tuna kasumba moja, ukihudumia jamii unaambiwa unatafuta sifa. Ukila mwenyewe unaambiwa Mchoyo.
Kweli kabisa hiliBinadamu tuna kasumba moja, ukihudumia jamii unaambiwa unatafuta sifa. Ukila mwenyewe unaambiwa Mchoyo.
Nakubaliana na hili piaHakuna mtu anahitaji kuona mapito yako, Watu wanahitaji kuona Matokeo tu.
✅️✅️Binadamu tuna kasumba moja, ukihudumia jamii unaambiwa unatafuta sifa. Ukila mwenyewe unaambiwa Mchoyo.
Ni kweli ✔️✔️Ukijifunza kuwa mkubwa kuliko tatizo. Ni rahisi sana kutatua tatizo.
✅️✅️Ukijifunza kuwa mkubwa kuliko tatizo. Ni rahisi sana kutatua tatizo.
✅️✅️Ukijifunza kuwa mkubwa kuliko tatizo. Ni rahisi sana kutatua tatizo.
✅️✅️✅️Hakikisha ambao walisema hujui kuandika, Ndio watakao soma Kitabu Chako.
Ni SawasawaHakuna mtu anahitaji kuona mapito yako, Watu wanahitaji kuona Matokeo tu.
Halotel bundle GB 7 Kwa 7,000/= GB 15 Kwa 15,000/= Malipo baada kuungwa🔐Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
SawasawaHakikisha ambao walisema hujui kuandika, Ndio watakao soma Kitabu Chako.
Halotel bundle GB 7 Kwa 7,000/= GB 15 Kwa 15,000/= Malipo baada kuungwa🔐Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.