myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Weekend inanukia
✔️✔️👍Kimsingi mtazamo mbaya kuhusu maisha ndiyo ugonjwa mkubwa zaidi na adui wa mafanikio.
👍👍✔️kama hupendi kitu fulani fanya bidii kukirekebisha. ukishidwa kukibadili basi badili mtazamo wako "
Sahihi kabisaWanapenda wakuone ukipambana, Ila hawaitaji kukuona Ukifanikiwa.
Pia sahihi kabisakama hupendi kitu fulani fanya bidii kukirekebisha. ukishidwa kukibadili basi badili mtazamo wako "
👍👍👍kama hupendi kitu fulani fanya bidii kukirekebisha. ukishidwa kukibadili basi badili mtazamo wako "
Uko SawasawaAcha kukimbia matatizo yako kwa kuwa matatizo hayajimalizi yenyewe, jaribu kutafuta suluhu hata kama jambo ni zito, usitoe visingizio.
Nitahakikisha hiloUsikubali kuingia kwenye mfumo wa mtu, Hakikisha mtu hakuelewi.
KweliUnapotia sumu mahali hakikisha unanawa vizuri mikono yako, Ili usije ukajisahau ukalamba vidole vyako.
✔️✔️✔️Unapotia sumu mahali hakikisha unanawa vizuri mikono yako, Ili usije ukajisahau ukalamba vidole vyako.
👍👍Unapotia sumu mahali hakikisha unanawa vizuri mikono yako, Ili usije ukajisahau ukalamba vidole vyako.
AiseeUnapotia sumu mahali hakikisha unanawa vizuri mikono yako, Ili usije ukajisahau ukalamba vidole vyako.
Kweli kabisaKujenga tofali ni ishu moja na kupaua ni ishu nyingine, Unaweza kujenga na usipaue hadi siku unakufa.
📌📌Kujenga tofali ni ishu moja na kupaua ni ishu nyingine, Unaweza kujenga na usipaue hadi siku unakufa.
👍👍✔️Kujenga tofali ni ishu moja na kupaua ni ishu nyingine, Unaweza kujenga na usipaue hadi siku unakufa.
👍✔️👍Wewe unaiwinda pesa, Ila kwa bahati mbaya sana kuna Binadamu wanakuwinda wewe.
✔️👍✔️Wewe unaiwinda pesa, Ila kwa bahati mbaya sana kuna Binadamu wanakuwinda wewe.
Muhimu ujumbe huuKwa bahati mbaya sana tunaishi Dunia ambayo haipendi kuskia Ukweli Kabisa.
AiseeBinadamu Tunabadilika sana Usishangae Hata uliyemsajilia line Kwa Nida yako, Anakuambia Ufute namba Yake.
✅️✅️✅️Kuna mambo amua kufanya wewe kama wewe, kuna ushauri mwingine unaweza kukurudisha nyuma. Sometimes anayekushauri haoni unachokiona wewe kwenye akili yako.