Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani like za nini hasa yaani mkuu
Kauli za Marais wa Tanzania zinazotakiwa kuenziwa milele daima🏧

Kila nikisoma kitabu cha azimio la Arusha sioni mapungufu - Nyerere

Kila Akitakacho kufanya Mtamzania ni Ruksa - Mwinyi

Watanzania wako tayari kula nyasi lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe - Mkapa

Sina Maana hiyo - Jakaya Kikwete

Msema kweli ni mpenzi wa mungu - Magufuli

Jamhuri ya muungano wa Tanzania - Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…