myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku mwema mliokuwa maofisini leo
Mkapa hakutoa kauli hiyo.Watanzania wako tayari kula nyasi lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe - Mkapa
AminMungu atupe afya na uzima 🙏 🤲
AminMungu awaponye wagonjwa 🙏 🤲
AminUwe usiku wenye amani na utulivu 🤲 🙏
Tulitaka yawe ya mkapa😀😀😀😀😀bora tuweke "mpumbavu"Mkapa hakutoa kauli hiyo.
Kauli hiyo imetolewa bungeni na aliyekuwa waziri wa fedha Basil Pesambili Mramba.
Mramba ametetea msimamo wa serikali kununua ndege mpya ya rais mwishoni mwa utawala wa Mkapa