myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu kwanzaUkiamka Asubuhi Hakikisha Macho, Masikio Na Viungo Vyako Vyote Vya Mwili Vinaanza Na MUNGU, Sala, Dua Na Maongezi Mengine Yote Yaanze Kwake Na Kabla Hujalala Utaratibu Uwe Ni Huo Huo, MUNGU Kwanza
Mungu pekeeUkiamka Asubuhi Hakikisha Macho, Masikio Na Viungo Vyako Vyote Vya Mwili Vinaanza Na MUNGU, Sala, Dua Na Maongezi Mengine Yote Yaanze Kwake Na Kabla Hujalala Utaratibu Uwe Ni Huo Huo, MUNGU Kwanza
SawaMaji Yanayotoka Bombani Huwa Na Thamani Yake Na Ndio Maana Yanalipiwa Ila Maji Ya Kisima Kila Mwenye Ndoo, Kopo Au Kata Huchota Kikubwa Huwa Ni Nguvu Ya Mchotaji Tu
✔️✔️✔️Maji Yanayotoka Bombani Huwa Na Thamani Yake Na Ndio Maana Yanalipiwa Ila Maji Ya Kisima Kila Mwenye Ndoo, Kopo Au Kata Huchota Kikubwa Huwa Ni Nguvu Ya Mchotaji Tu
✔️✔️✔️Maji Yanayotoka Bombani Huwa Na Thamani Yake Na Ndio Maana Yanalipiwa Ila Maji Ya Kisima Kila Mwenye Ndoo, Kopo Au Kata Huchota Kikubwa Huwa Ni Nguvu Ya Mchotaji Tu
NakubalianaMaji Yanayotoka Bombani Huwa Na Thamani Yake Na Ndio Maana Yanalipiwa Ila Maji Ya Kisima Kila Mwenye Ndoo, Kopo Au Kata Huchota Kikubwa Huwa Ni Nguvu Ya Mchotaji Tu
SawasawaMti Unaumia Sio Kwa Sababu Ya Ukali Wa Shoka Bali Kwa Sababu Ya Kuona Mkono Wa Shoka Unatokana Na Mti Huo Huo, Kuwa Makini Na Watu Wako Wa Karibu, Haijalishi Kama Ni Ndugu, Jamaa Au Rafiki, Chukua Somo Kupitia Mti Na Shoka
Ni kweli kabisaHakuna Ubora Usioambatana Na Matatizo
SawaUsiogope Giza, Ogopa Kilichopo Ndani Ya Giza Hilo…
SawaUsiogope Giza, Ogopa Kilichopo Ndani Ya Giza Hilo…
📌📌📌Nyoka Hata Ajivue Gamba Mara Ngapi Bado Atabakia Kuwa Nyoka Tu, Jihadhari Na Baadhi Ya Watu Wanaotaka Kujirudisha Maishani Mwako Baada Ya Kukutenda
✅️✅️✅️Ukiwa Masikini Hata Ukisalimia Watu Wanahisi Unataka Kuomba Kitu
KweliNyoka Hata Ajivue Gamba Mara Ngapi Bado Atabakia Kuwa Nyoka Tu, Jihadhari Na Baadhi Ya Watu Wanaotaka Kujirudisha Maishani Mwako Baada Ya Kukutenda
Mungu ndio kila kituUkiamka Asubuhi Hakikisha Macho, Masikio Na Viungo Vyako Vyote Vya Mwili Vinaanza Na MUNGU, Sala, Dua Na Maongezi Mengine Yote Yaanze Kwake Na Kabla Hujalala Utaratibu Uwe Ni Huo Huo, MUNGU Kwanza
Fikra..Kabla Ya Kutafuta Unachokitaka Na Kukipenda Tafuta Kwanza Ukombozi Wa Fikra Zako…
Muhimu hiliKabla Ya Kutafuta Unachokitaka Na Kukipenda Tafuta Kwanza Ukombozi Wa Fikra Zako…
Sahihi kabisaMaji Yangeweza Kuzungumza Yangetuambia Tuoshe Mioyo Yetu Kwanza Kabla Ya Kuosha Mikono, Nyuso Na Miili Yetu…
MalengoBaadhi Ya Watu Unaoanza Nao Hawatakuwa Na Kile Kinachohitajika Ili Kumaliza Mlichokianza Pamoja, Pambana Uendelee Peke Yako Hadi Utimize Lengo…
SawasawaUkisikia Elimu Haina Mwisho Sio Kwamba Ni Elimu Hiyo Ambayo Ulikaa Darasani Ni Elimu Hii Ya Huku Kwenye Maisha Yenyewe Ndio Haina Mwisho, Moyo Uliyovunjika Au Kuvunjwa Vunjwa, Mifuko Mitupu Na Kuanguka Kwenye Ndoto Zako Ambazo Uliamua Kuziweka Kwenye Uhalisia
📌📌Maji Yangeweza Kuzungumza Yangetuambia Tuoshe Mioyo Yetu Kwanza Kabla Ya Kuosha Mikono, Nyuso Na Miili Yetu…