myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ni kweli kabisaMaji Yangeweza Kuzungumza Yangetuambia Tuoshe Mioyo Yetu Kwanza Kabla Ya Kuosha Mikono, Nyuso Na Miili Yetu…
Ni kweli kabisaMaji Yangeweza Kuzungumza Yangetuambia Tuoshe Mioyo Yetu Kwanza Kabla Ya Kuosha Mikono, Nyuso Na Miili Yetu…
SawaMaji Yangeweza Kuzungumza Yangetuambia Tuoshe Mioyo Yetu Kwanza Kabla Ya Kuosha Mikono, Nyuso Na Miili Yetu…
Sawa kabisa piaUkisikia Elimu Haina Mwisho Sio Kwamba Ni Elimu Hiyo Ambayo Ulikaa Darasani Ni Elimu Hii Ya Huku Kwenye Maisha Yenyewe Ndio Haina Mwisho, Moyo Uliyovunjika Au Kuvunjwa Vunjwa, Mifuko Mitupu Na Kuanguka Kwenye Ndoto Zako Ambazo Uliamua Kuziweka Kwenye Uhalisia
Kutimiza malengoBaadhi Ya Watu Unaoanza Nao Hawatakuwa Na Kile Kinachohitajika Ili Kumaliza Mlichokianza Pamoja, Pambana Uendelee Peke Yako Hadi Utimize Lengo…
Nakubaliana na hili piaUkisikia Elimu Haina Mwisho Sio Kwamba Ni Elimu Hiyo Ambayo Ulikaa Darasani Ni Elimu Hii Ya Huku Kwenye Maisha Yenyewe Ndio Haina Mwisho, Moyo Uliyovunjika Au Kuvunjwa Vunjwa, Mifuko Mitupu Na Kuanguka Kwenye Ndoto Zako Ambazo Uliamua Kuziweka Kwenye Uhalisia
Afya muhimuUkijizingatia Wewe Tu Na Hujali Mtu Mwingine Huo Ni Ubinafsi, Ukizingatia Watu Wengine Na Sio Wewe Mwenyewe Hiyo Ni Hujuma Ya Kibinafsi Lakini Ikiwa Unajishughulisha Mwenyewe Kwa Kujali Afya Yako, Afya Ya Akili Yako, Uchumi Wako, Kutoa Zaidi Kwa Wengine Huo Unaitwa Usawa
👍Baadhi Ya Watu Unaoanza Nao Hawatakuwa Na Kile Kinachohitajika Ili Kumaliza Mlichokianza Pamoja, Pambana Uendelee Peke Yako Hadi Utimize Lengo…
Tuwe makiniKwenye Maisha Yetu Ya Kila Siku, Kuna Unaotakiwa Uwavumilie Kwa Faida Ya Kesho Na Kuna Unaotakiwa Kuwaondoa Kwenye Maisha Yako Kwa Kuepeuka Hasara Ya Leo Na Umasikini Wa Kesho, Kuwa Makini Na Ujue Kuwatofautisha Wa Kuwatoa Na Wanaobaki…
Muungwana ni vitendoMtu Aliye Muungwana Kamwe Hachukui Nafasi Ya MUNGU Kwa Watu Waliyo Chini Yake…
SawaAliyenusurika Kwa Kuzama Baharini Hawezi Kudhurika Kwa Matone Ya Mvua Hata Yageuke Kuwa Mafuriko
AiseeYale Maombi Ambayo Unasubiri MUNGU Akujibu Ndio Zile Simu Ambazo Huwa Hupokei Kisa Namba Ni Ngeni
Aisee....Yale Maombi Ambayo Unasubiri MUNGU Akujibu Ndio Zile Simu Ambazo Huwa Hupokei Kisa Namba Ni Ngeni
✔️✔️Shetani Ana Wakala Wake Kwenye Maisha Yetu Nao Ni Ndugu Zetu Waliyotusaliti Na Marafiki Zetu Waliyotugeuka…
👍👍👍👍Aliyenusurika Kwa Kuzama Baharini Hawezi Kudhurika Kwa Matone Ya Mvua Hata Yageuke Kuwa Mafuriko
Sawa piaAliyenusurika Kwa Kuzama Baharini Hawezi Kudhurika Kwa Matone Ya Mvua Hata Yageuke Kuwa Mafuriko
✔️👍✔️Aliyenusurika Kwa Kuzama Baharini Hawezi Kudhurika Kwa Matone Ya Mvua Hata Yageuke Kuwa Mafuriko
📌📌📌Kwenye Maisha Yetu Ya Kila Siku, Kuna Unaotakiwa Uwavumilie Kwa Faida Ya Kesho Na Kuna Unaotakiwa Kuwaondoa Kwenye Maisha Yako Kwa Kuepeuka Hasara Ya Leo Na Umasikini Wa Kesho, Kuwa Makini Na Ujue Kuwatofautisha Wa Kuwatoa Na Wanaobaki…
Ujumbe muhimu, NakubalianaKwenye Maisha Yetu Ya Kila Siku, Kuna Unaotakiwa Uwavumilie Kwa Faida Ya Kesho Na Kuna Unaotakiwa Kuwaondoa Kwenye Maisha Yako Kwa Kuepeuka Hasara Ya Leo Na Umasikini Wa Kesho, Kuwa Makini Na Ujue Kuwatofautisha Wa Kuwatoa Na Wanaobaki…