myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🤣🤣Urafiki Mwingine Ni Kama Mti Wa Papai, Haufai Kwa Mbao Wala Kuni
SawasawaUrafiki Mwingine Ni Kama Mti Wa Papai, Haufai Kwa Mbao Wala Kuni
✔️👍✔️Mtu Aliye Muungwana Kamwe Hachukui Nafasi Ya MUNGU Kwa Watu Waliyo Chini Yake…
KweliUkifilisika Usilaumu Uliyokuwa Una Kula Nao Bata…
Sahihi kabisaMtu Aliye Muungwana Kamwe Hachukui Nafasi Ya MUNGU Kwa Watu Waliyo Chini Yake…
📌📌📌Kabla Ya Kumuongelea Vibaya Na Kumchafua Aliyekusadia Lipa Kwanza Fadhila Zake…
KweliZishukuru Sana Shida Au Changamoto Zako Za Kimaisha Bila Dhoruba Hizi Usingeweza Kujua Watu Wako Na Wasio Wako
SawasawaZishukuru Sana Shida Au Changamoto Zako Za Kimaisha Bila Dhoruba Hizi Usingeweza Kujua Watu Wako Na Wasio Wako
Uko SawasawaSiku Ukiona Mvua Inanyesha Toka Ukalie Shida Zako Zote Kwenye Mvua, Machozi Yako Hayataonekana Maana Mvua Itabeba Machozi Hayo Na Maumivu Yako Yatabebwa Na Matone Ya Mvua
Muhimu sanaKabla Ya Kumuongelea Vibaya Na Kumchafua Aliyekusadia Lipa Kwanza Fadhila Zake…
Maisha ni muhimuMaisha Na Muda Ndio Mwalimu Bora Hapa Duniani, Maisha Hutufundisha Jinsi Ya Kutumia Muda Na Muda Hutufundisha Thamani Ya Maisha
📌📌Ukubwa Wa MAJIVUNO Yako Ya Leo Ndio Ukubwa Wa ANGUKO Lako La Kesho
👍👍✔️Fitina Inayopikwa Kwa Maneno Inaiva Haraka Kuliko Chakula Kinachopikwa Kwa Moto…