myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kweli kabisaUtumwa Wa Sasa Sio Wa Kufungwa Minyororo, Kupigwa Au Kufanya Kazi Ngumu, Utumwa Wa Sasa Ni MIKOPO
Ufumbuzi ndio dawaKama Huwezi Kutafuta Ufumbuzi Wa Changamoto Zako, Unahisi Unaweza Kusimamia Mafanikio Yakoβ¦.!?
Sawasawa kabisaKama Umeanguka Kwenye Jambo Lolote, Iwe Elimu, Biashara, Kazi Au Jambo Lolote Ambalo Ni Ndoto Yako Na Umevunjika Moyo Na Kukataa Tamaa Kisha Ukaamua Kuachana Nalo Au Kurudi Nyumbani Na Kuendelea Na Mengine, Jiamini Na Uanze Upya Au Endelea Ulipoishia,
Sawasawa βοΈ βοΈKama Umeanguka Kwenye Jambo Lolote, Iwe Elimu, Biashara, Kazi Au Jambo Lolote Ambalo Ni Ndoto Yako Na Umevunjika Moyo Na Kukataa Tamaa Kisha Ukaamua Kuachana Nalo Au Kurudi Nyumbani Na Kuendelea Na Mengine, Jiamini Na Uanze Upya Au Endelea Ulipoishia,
ππUkubwa Wa MAJIVUNO Yako Ya Leo Ndio Ukubwa Wa ANGUKO Lako La Kesho
Kweli na hiliMjasiriamali Hawezi Kudhibiti Alichonacho Kila Wakati Lakini Anaweza Kudhibiti Kile Anachofanya Kwa Kile Alichonacho
SawasawaKuna Wakati Wa Kumuomba MUNGU Tu Na Kuna Wakati Wa Kumuomba Mtu Au Watu Hakikisha Unajua Kutofautisha Nyakati Hizo Za Maombi Na Maombi Yenyewe
Sawasawa βοΈ βοΈKuna Wakati Wa Kumuomba MUNGU Tu Na Kuna Wakati Wa Kumuomba Mtu Au Watu Hakikisha Unajua Kutofautisha Nyakati Hizo Za Maombi Na Maombi Yenyewe
SawaNi Rahisi Sana Mteja Wako Kuwa Rafiki Yako Mkubwa Kuliko Rafiki Yako Wa Karibu Kuwa Mteja Wako
NakubalianaSiku Ukiacha Kushindana Na Kuiga Ya Walimwengu Ukazingatia Yaliyokuleta Duniani Ndiyo Mafanikio Yako Utaanza Kuyaona Hapo Hapo
πππSiku Ukiacha Kushindana Na Kuiga Ya Walimwengu Ukazingatia Yaliyokuleta Duniani Ndiyo Mafanikio Yako Utaanza Kuyaona Hapo Hapo
SawasawaMwaka Huu Ukipunguza Au Kuacha Kabisa Kile Kiherehere Na Kiranga Kwenye Mambo Yasiyokuhusu Basi Utafanikiwa