Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
JE WAJUA
Malkia Elizabeth I Aliyeitawala Uingereza Karne ya 16 Alikuwa Anapenda Sana Kujipaka Poda Nyeupe Usoni, Ni Makeup Inayoitwa Venetian Ceruse. Makeup Hii Ndiyo Iliyopelekea Kifo Chake Baada ya Sumu Kuingia Kwenye Damu. Alifariki Akiwa na Miaka 69, na Akiwa Bado Bikra.