Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna umri Fulani ukifika hisia za maendeleo na mafanikio zinautawala sana moyo wako kuliko hisia za aina yeyote ile, ukifikia hapo baaaasi tambua hakuna kihashiria kingine Cha kukutaarifu kwamba umekuwa.