myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kumbukumbu muhimu
Kumbukumbu muhimu
📌📌Unajua njia bora ya kuwa upendo ni kupenda kama vile hujawahi kuumizwa hapo awali na upendo wa kweli ni vigumu kupata lakini ukipatikana ni wa milele na Rafiki wa kweli ni upendo wa kweli...
👍👍Jaribu kuufundisha moyo wako muda mwingine usiwe ni Mtu wake kung'ang'ania kitu ambacho tayarii kimekuonesha ishara ya maumivu kwako
NakubalianaJaribu kuufundisha moyo wako muda mwingine usiwe ni Mtu wake kung'ang'ania kitu ambacho tayarii kimekuonesha ishara ya maumivu kwako
Nakubaliana na hiliJaribu kuufundisha moyo wako muda mwingine usiwe ni Mtu wake kung'ang'ania kitu ambacho tayarii kimekuonesha ishara ya maumivu kwako
SawasawaJaribu kuufundisha moyo wako muda mwingine usiwe ni Mtu wake kung'ang'ania kitu ambacho tayarii kimekuonesha ishara ya maumivu kwako
SawaJitahidi sana Usifate mkumbo fanya unachoona ni sahihi kwako na Uwe tayari kupambana nacho
KweliNeno SAMAHANI ni dogo sana,ila lina thamani kubwa sana endapo anaelitamka amedhamilia kutoka moyoni.
Jifunze kuomba msamaha.
SawaMisimamo yako ni muhimu sana kuisimamia japo wengi watakutafsiri tofauti ila jua tafsiri zao ndo mipaka na heshima yao na wewe inapoanzia
Muhimu ujumbe huuWaliokuzunguka ndo wakuwa nao makini hao baadhi yao wenye chuki za hovyo ndo wanaokuharibia..
✔️✔️✔️Misimamo yako ni muhimu sana kuisimamia japo wengi watakutafsiri tofauti ila jua tafsiri zao ndo mipaka na heshima yao na wewe inapoanzia
🙏🙏Ikawe siku njema yenye baraka na mafanikio tele kwako
📌📌📌Unajua njia bora ya kuwa upendo ni kupenda kama vile hujawahi kuumizwa hapo awali na upendo wa kweli ni vigumu kupata lakini ukipatikana ni wa milele na Rafiki wa kweli ni upendo wa kweli...
AiseeWakati mwengine jitahidi usipoteze muda kwa watu ambao hawapo tayari kukuelewa na hata ufanye nini hawawezi kukuelewa kabisa,
''Je huoni kama unapoteza nguvu zako bure?...
SawaUtafutaji wa riziki sio lazima uitafute sehemu ambayo umezaliwa inua mguu wako kanyaga kwingine Kumbuka matokeo sahihi hayaji Kwa kufumba macho na kufumbua
AminaBWANA atakufanya kuwa kichwa, wala si mkia; nawe utakuwa juu tu, wala huwi chini; utakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wako,
Na kila mwenye Imani yake ni Ikawe Kheri
SawasawaUtafutaji wa riziki sio lazima uitafute sehemu ambayo umezaliwa inua mguu wako kanyaga kwingine Kumbuka matokeo sahihi hayaji Kwa kufumba macho na kufumbua
✔️👍Utafutaji wa riziki sio lazima uitafute sehemu ambayo umezaliwa inua mguu wako kanyaga kwingine Kumbuka matokeo sahihi hayaji Kwa kumbumba macho na kufumbua
✔️👍✔️Hautakuja kuwa na jukumu kubwa (la msingi zaidi) duniani kuliko lile la kuipenda, kuihudumia na kuitunza familia yako.