Hatuwezi kuzuia maneno ya watu juu yetu lakini tunaweza kuzuia nafsi zetu zisiathirike na maneno yao juu yetu, Kwani funguo za akili zetu zipo katika mikono yetu na wala si katika mioyo yao.

Umbali uliotoka pamoja na magumu uliyo wahi kupitia na kushinda yawe ishara tosha ya Upendo wa Mungu kwako inawezekana kuna vitu havipo kama unavyo taka wewe viwe lakini bado unaweza kutabasamu na kumwambia Mungu Asante kwa zawadi ya Uhai AMANI IWE NANYI