Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Umbali uliotoka pamoja na magumu uliyo wahi kupitia na kushinda yawe ishara tosha ya Upendo wa Mungu kwako inawezekana kuna vitu havipo kama unavyo taka wewe viwe lakini bado unaweza kutabasamu na kumwambia Mungu Asante kwa zawadi ya Uhai AMANI IWE NANYI