Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WAMASAI

Wanajulikana kwa tamaduni zao na mavazi yao ya rangi nyekundu na shanga nyingi. Wako maeneo ya Kaskazini mwa Tanzania,hasa kwenye mbuga za Serengeti Ngorongoro.Utamaduni wao wa kushangaza ni pamoja na mila ya kuruka juu wakati wa nyimbo za kidesturi (Adumu)
 
.WAHADZABE

Mojawapo ya makabila machache yanayoishi na kutegemea uwindaji wanyama na ukusanyaji wa matunda.Wanaishi maeneo ya bonde la Eyasi.Utamaduni wao wa kushangaza ni uwezo wao wa kuongea kwa kutumia sauti za mluzi na mfumo wao wa maisha ambao haujabadilika kwa karne nying
 
WASUKUMA

Ni kabila kubwa zaidi nchini Tanzania, wakiwa na tamaduni nyingi za kipekee. Moja ya tamaduni zao za kushangaza ni mchezo wa ngoma wa "Bulabo" na "Bugobogobo" ngoma hizi huchezwa na wanakijiji huku wakiwa na nyoka wa sumu kama sehemu ya nyimbo kuonyesha ujasiri
 
WAMAKONDE

Wanajulikana kwa ustadi wao wa kuchonga vinyago vya mbao, maarufu kama sanaa ya Makonde Wako Kusini mwa Tanzania na ni mojawapo ya makabila machache yanayojulikana kimataifa kwa michongo yao ya mbao ambayo hufanya sehemu kubwa ya utamaduni wao
 
Magazeti ya leo
Jumatatu
Sep 23 2024
IMG-20240923-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom