myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaUtamu wa starehe unakula na rafiki zako ila madhara ya starehe unakula na familia yako "Akili kichwani Mwako
📌📌📌Mafanikio hayaji kirahisi unahitaji kumwaga jasho,damu na machozi
Sahihi kabisaMafanikio hayaji kirahisi unahitaji kumwaga jasho,damu na machozi
Nakubaliana na hili piaMafanikio hayaji kirahisi unahitaji kumwaga jasho,damu na machozi
✔️✔️Furaha yako isitegemee kutoka kwa mtu mwingine bali jitahidi uwe ndo chanzo cha furaha yako mwenyewe
Jipe furaha mwenyeweFuraha yako isitegemee kutoka kwa mtu mwingine bali jitahidi uwe ndo chanzo cha furaha yako mwenyewe
👍👍Ndoto ni ile inayo kusumbua kichwa na siyo Ile unayo iota ukiwa umelala_
Amani muhimu sanaKama sehemu unayoishi kuna amani,endelea kuitunza, njia pekee ya kutunza hiyo amani ni kuhakikisha kwa jirani yako pia kuna amani.
Amani muhimuKama sehemu unayoishi kuna amani,endelea kuitunza, njia pekee ya kutunza hiyo amani ni kuhakikisha kwa jirani yako pia kuna amani.
👍👍👍Kama sehemu unayoishi kuna amani,endelea kuitunza, njia pekee ya kutunza hiyo amani ni kuhakikisha kwa jirani yako pia kuna amani.
Kweli kabisa hiliKauli ni ile ile, Usiache kwenda kwenye Ibada kwasababu maombi Yako hayajajibiwa Bado