myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🤲🙏Mwanzo wa matatizo ndio mwanzo wa furaha, usikatishwe tamaa na hayo unayoyaona sasa Mungu yupo nawe atayamaliza yote, Amina
🤲🙏Mwanzo wa matatizo ndio mwanzo wa furaha, usikatishwe tamaa na hayo unayoyaona sasa Mungu yupo nawe atayamaliza yote, Amina
✅️✅️Mwanzo wa matatizo ndio mwanzo wa furaha, usikatishwe tamaa na hayo unayoyaona sasa Mungu yupo nawe atayamaliza yote, Amina
SahihiSio Kila mtu unaye famiana nae lazima akusaidie shida zako wengine wabaki Kama marafiki TU
SawaUsijidharau kuna watu wanajifunza kutoka kwako, kukwama mara moja haikuondolei thamani yako.
KweliUsijidharau kuna watu wanajifunza kutoka kwako, kukwama mara moja haikuondolei thamani yako.
👍👍Usijidharau kuna watu wanajifunza kutoka kwako, kukwama mara moja haikuondolei thamani yako.
👍✔️Waelewe watu. Wasikilize. Wavumilie. Lakini hakikisha wanaelewa wewe sio dhaifu
👍✔️✔️Muda Mwingine Baraka Ya Mungu Unaweza Ipata Kwa Kupitia Matendo Yako Yalio Mema.
Sahihi kabisaMuda Mwingine Baraka Ya Mungu Unaweza Ipata Kwa Kupitia Matendo Yako Yalio Mema.
✔️✔️👍Muda Mwingine Baraka Ya Mungu Unaweza Ipata Kwa Kupitia Matendo Yako Yalio Mema.
NakubalianaMuda Mwingine Baraka Ya Mungu Unaweza Ipata Kwa Kupitia Matendo Yako Yalio Mema.
✔️✔️👍Usiruhusu uaminifu wako ukuweke katika hali ambazo akili yako ya kawaida ingekutoa.
📌Usiruhusu uaminifu wako ukuweke katika hali ambazo akili yako ya kawaida ingekutoa.
SawasawaSio Kila mtu unaye famiana nae lazima akusaidie shida zako wengine wabaki Kama marafiki TU
📌📌Sio Kila mtu unaye famiana nae lazima akusaidie shida zako wengine wabaki Kama marafiki TU
Kweli kabisa hiliMwanamke lazima uwe na busara, hekima na nidhamu..Pia mwanamke lazima ujilinde na ujiepushe na vishawishi katika jamii.
📌📌Sio Kila mtu unaye famiana nae lazima akusaidie shida zako wengine wabaki Kama marafiki TU