Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mara nyingi vizuri haviji kwa wanao subiri maishani bali vizuri huja kwa wanao thubutu na kupambane pekee..!
SawaUsijidharau kuna watu wanajifunza kutoka kwako, kukwama mara moja haikuondolei thamani yako.
SawaUnaponyimwa msaada usiumie wala kulaumu, bali ikupe hamasa ya kutafuta chako
KweliUnaponyimwa msaada usiumie wala kulaumu, bali ikupe hamasa ya kutafuta chako
Sahihi kabisaUnaponyimwa msaada usiumie wala kulaumu, bali ikupe hamasa ya kutafuta chako
✅️Mara nyingi vizuri haviji kwa wanao subiri maishani bali vizuri huja kwa wanao thubutu na kupambane pekee..!
SawaKuna muda hupanswi kusikiliza watu wanasema nini, kwasababu mara zote binadamu tulivo tunaangalia makosa zaidi kuliko yale mazuri uliyoyafanya
✅️✅️Kuna muda hupanswi kusikiliza watu wanasema nini, kwasababu mara zote binadamu tulivo tunaangalia makosa zaidi kuliko yale mazuri uliyoyafanya
🙏🤲Mwanzo wa matatizo ndio mwanzo wa furaha, usikatishwe tamaa na hayo unayoyaona sasa Mungu yupo nawe atayamaliza yote, Amina
✅️✅️✅️Kuna muda hupanswi kusikiliza watu wanasema nini, kwasababu mara zote binadamu tulivo tunaangalia makosa zaidi kuliko yale mazuri uliyoyafanya
👍👍Kuna muda hupanswi kusikiliza watu wanasema nini, kwasababu mara zote binadamu tulivo tunaangalia makosa zaidi kuliko yale mazuri uliyoyafanya