Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tai wanaona kwa usahihi mkubwa. Wana uwezo wa kufokasi kwenye kitu tokea umbali wa kilomita 5. Haijalishi aina ya kikwazo, tai hataondoa macho yake kwenye windo lake hadi pale atakapolikamata.
MAANA: Kuwa na maono na endelea kufokasi bila kujali aina ya kizuizi hadi pale utakapofanikiwa.
MAANA: Kuwa na maono na endelea kufokasi bila kujali aina ya kizuizi hadi pale utakapofanikiwa.