Kazuyoshi Miura, ni mshambuliaji kutokea Japan mwenye umri wa miaka 57 lakini bado anaendelea kucheza soka la ushindani. Kwa sasa yupo kwa mkopo kwenye timu ya Atletico Suzuka na soka la ushindani rasmi aliingia mwaka 1986.

Ocean Quahog ndiye mnyama aliyethibitishwa kisayansi kuwa aliishi kwa muda mrefu zaidi duniani. Alizaliwa mwaka 1499 na kufa mwaka 2006 akiwa na umri wa miaka 507.
Inaaminika kuwa aliuawa na wanasayansi waliovunja gamba lake bila kujua kuwa bado yupo hai wakati wanataka kumchunguza

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.