Jon Brower Minnoch, ndiyo mtu pekee mpaka sasa aliyewahi kuthibitishwa kuwa na uzito mkubwa zaidi. Wakati anarekodiwa alikua na uzito wa kg 635.
Lakini baadae alifanikiwa kupunguza kg 419 na kuweka rekodi pia ya uzito mkubwa zaidi kuwahi kupunguzwa na binadamu