Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hakika🌼🌼🌻🌻🌴🌺🍁🍀Matukio yanayoweza kumbadilisha kabisa mtu;
- Kufilisika.
- Kusalitiwa na rafiki wa karibu.
- Kifo cha mzazi.
- Kuvunjika moyo (heart broken).
- Pale unapogundua hakuna mtu anaekuja kukusaidia.