moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Yani sana nasikia huzuni 🥲🥲Ephen kaadimika sana jukwaani.
Game of throne pia wamepiga hiyo ngomaHii nyimbo kalii sana hadi series yake kalii now nasubiri jumapili kipande cha 3 kwa hamu sana
Duh kumbeeeGame of throne pia wamepiga hiyo ngoma
Yani hiyo nyimbo yake naipenda mnoDuh kumbeee
Ndio wamenifanya theme song kwenye from series 😎😍Yani hiyo nyimbo yake naipenda mno