moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AiseeLengo lako ni kuchanganya falsafa na vita, hekima na mapambano, kuwa na mchanganyiko usioweza kushindwa.
SawaSi vizuri kubeza au kukebehi Mafanikio (Maendeleo) ya yeyote na ya namna yoyote Ile, TUNATOFAUTIANA vingi & mengi. kila mtu ana Kiasi, aina au ana namna yake ya Maendeleo/Mafanikio. ..
SawasawaLengo lako ni kuchanganya falsafa na vita, hekima na mapambano, kuwa na mchanganyiko usioweza kushindwa.
🙏🙏Muda Uliobaki Ni Kujichanganya Kwa Mungu Tu.
🤲🤲Muda Uliobaki Ni Kujichanganya Kwa Mungu Tu.
🤲🙏Kila unachoona kinawezekana basi usiache kupigania
NakubalianaOmba Msamaha Pale Unapokosea, Bado Una Umri Mdogo Sana Kupoteza Watu Muhimu kwa Sababu ya Ufahari au Kiburi, Ondoa Fikra ya kwamba Unaweza Kupata Mbadala wa Kila Mtu.
KweliOmba Msamaha Pale Unapokosea, Bado Una Umri Mdogo Sana Kupoteza Watu Muhimu kwa Sababu ya Ufahari au Kiburi, Ondoa Fikra ya kwamba Unaweza Kupata Mbadala wa Kila Mtu.
Ni kweli ✔️Si vizuri kubeza au kukebehi Mafanikio (Maendeleo) ya yeyote na ya namna yoyote Ile, TUNATOFAUTIANA vingi & mengi. kila mtu ana Kiasi, aina au ana namna yake ya Maendeleo/Mafanikio. ..
✔️✔️Huwezi ikimbia siku mbaya au nyakati ngumu maishani mwako. Huyo ni wewe. Acha kulaumu na kulalamika. Yatakua sawa ila hakikisha unatafuta namna ya kujiokoa
✔️✔️✔️Huwezi ikimbia siku mbaya au nyakati ngumu maishani mwako. Huyo ni wewe. Acha kulaumu na kulalamika. Yatakua sawa ila hakikisha unatafuta namna ya kujiokoa
✅️Huwezi ikimbia siku mbaya au nyakati ngumu maishani mwako. Huyo ni wewe. Acha kulaumu na kulalamika. Yatakua sawa ila hakikisha unatafuta namna ya kujiokoa