myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
NakubalianaJifunze kupitia makosa yako na ya wengine
✅️✅️Ukitambua na kutafakari ulipotolewa na Mungu hakika hautashindwa kusema asante kwake. Mshukuru Mungu kwa kila jambo hata kama mengine yanaenda vibaya endelea kumwambia Mungu asante
✅️✅️✅️Kama Una Mtoto/Unajiandaa Kuwa Mzazi Baadae, Omba Mungu Akupe Umri Mrefu ili Uweze Kulea Mtoto/Watoto Wako Mpaka Pale Watakapoanza Kujitegemea.Inaumiza Zaidi Mzazi Kufariki Wakati Mtoto/Watoto Wakiwa Bado Hawajafikia Hatua ya Kujitegemea.
✅️✅️✅️Kama Una Mtoto/Unajiandaa Kuwa Mzazi Baadae, Omba Mungu Akupe Umri Mrefu ili Uweze Kulea Mtoto/Watoto Wako Mpaka Pale Watakapoanza Kujitegemea.Inaumiza Zaidi Mzazi Kufariki Wakati Mtoto/Watoto Wakiwa Bado Hawajafikia Hatua ya Kujitegemea.
Mungu shukurani 🙏🤲Ukitambua na kutafakari ulipotolewa na Mungu hakika hautashindwa kusema asante kwake. Mshukuru Mungu kwa kila jambo hata kama mengine yanaenda vibaya endelea kumwambia Mungu asante
Ni sahihiKwenye maisha yako jitahidi sana mafanikio yako yasitokane na anguko la mtu mwingine.
👍Kwenye maisha yako jitahidi sana mafanikio yako yasitokane na anguko la mtu mwingine.
👍👍Wema wa mtu hujidhihirisha kwa matendo yake na sio kwa maneno yake sababu maneno ni rahisi kumtamkika kuliko matendo mema kutendeka.
Sawasawa ✔️Kuna watu unawalalamikia hawakusaidii lakini kumbe ni mpango wa Mungu kabisa wasikusaidie usiwalalamikie mshukuru Mungu kwa kukutenga na watu wasio sahihi kwenye maisha yako omba Neema ya Mungu ikukutanishe na watu sahihi usilazimishe ushirikiano usiotoka kwa Mungu
👍✔️👍Kwa maana kondoo hawachungi majani ili kuwaonyesha wachungaji wamekula kiasi gani; lakini, wakimeng’enya chakula chao ndani, kwa nje hutokeza pamba na maziwa
✔️✔️👍Kwa maana kondoo hawachungi majani ili kuwaonyesha wachungaji wamekula kiasi gani; lakini, wakimeng’enya chakula chao ndani, kwa nje hutokeza pamba na maziwa
✔️✔️👍Tupambane sana kutafuta pesa.”lakini tusisahau kuwa na marafiki wachache waaminifu na wenye msaada maishan mwetu....wazaz wanafariki ndugu wanabadilika
✔️✔️✔️Wema wa mtu hujidhihirisha kwa matendo yake na sio kwa maneno yake sababu maneno ni rahisi kumtamkika kuliko matendo mema kutendeka.
Sahihi kabisaKila kizuri kina ubaya ndani yake, na kile chenye ubaya kina uzuri pia
👍✔️👍✔️Maisha Yako Ya Leo Sio Taswira Halisi Ya Maisha Yako Ya Kesho, Usikate Tamaa! Ukiona Unaonekana Hivo, Ujue Ni Neema Ya Mungu Tu.Unachopitia Sasa Kipe Muda Utanoga Tu, MUNGU Mbele, Bidii Sana, Pambana, Tumia Kila Fursa Kikamilifu
Pambana sana..Maisha Yako Ya Leo Sio Taswira Halisi Ya Maisha Yako Ya Kesho, Usikate Tamaa! Ukiona Unaonekana Hivo, Ujue Ni Neema Ya Mungu Tu.Unachopitia Sasa Kipe Muda Utanoga Tu, MUNGU Mbele, Bidii Sana, Pambana, Tumia Kila Fursa Kikamilifu
📌Kuna watu unawalalamikia hawakusaidii lakini kumbe ni mpango wa Mungu kabisa wasikusaidie usiwalalamikie mshukuru Mungu kwa kukutenga na watu wasio sahihi kwenye maisha yako omba Neema ya Mungu ikukutanishe na watu sahihi usilazimishe ushirikiano usiotoka kwa Mungu
Ni kweliMtu mwenye roho mbaya hata ukimzidi dhambi anakasirika