myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ujumbe huuUsichague Starehe Kwenye Umri Wako wa Mahangaiko,Sababu itakupasa Kuhangaika Kwenye Umri Wako Wa Starehe
Sahihi kabisaUsichague Starehe Kwenye Umri Wako wa Mahangaiko,Sababu itakupasa Kuhangaika Kwenye Umri Wako Wa Starehe
πππIkumbukwe..
MAISHA haya ni mafupi sana!!
Ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie, akiumwa mpe pole, akikuomba msamaha msamehe, ukimkumbuka mjulie hali. Kamwe usiyape nafasi majivuno tuna muda mchache sana duniani kwa sababu. UHAI ni zawadi lakini KIFO ni lazima
Mungu atupe UHAI..Ikumbukwe..
MAISHA haya ni mafupi sana!!
Ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie, akiumwa mpe pole, akikuomba msamaha msamehe, ukimkumbuka mjulie hali. Kamwe usiyape nafasi majivuno tuna muda mchache sana duniani kwa sababu. UHAI ni zawadi lakini KIFO ni lazima
Mungu atupe afya na uzima π π€²Ikumbukwe..
MAISHA haya ni mafupi sana!!
Ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie, akiumwa mpe pole, akikuomba msamaha msamehe, ukimkumbuka mjulie hali. Kamwe usiyape nafasi majivuno tuna muda mchache sana duniani kwa sababu. UHAI ni zawadi lakini KIFO ni lazima
Mungu atupe afya na uzima na uhai zaidiππ€²Ikumbukwe..
MAISHA haya ni mafupi sana!!
Ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie, akiumwa mpe pole, akikuomba msamaha msamehe, ukimkumbuka mjulie hali. Kamwe usiyape nafasi majivuno tuna muda mchache sana duniani kwa sababu. UHAI ni zawadi lakini KIFO ni lazima
βοΈβοΈβοΈIkumbukwe..

Kweli hiliHakuna zawadi nzuri kama UHAI na AFYA
Apumzike kwa amani
Mapambano haswaMAISHA ni MAPAMBANO yaani hakuna mtu ambae anaweza kupambana kwa NIABA yako zaidi ya ww MWENYEWE.
ππMAISHA ni MAPAMBANO yaani hakuna mtu ambae anaweza kupambana kwa NIABA yako zaidi ya ww MWENYEWE.
πππMAISHA ni MAPAMBANO yaani hakuna mtu ambae anaweza kupambana kwa NIABA yako zaidi ya ww MWENYEWE.
Apumzike kwa amani
SawasawaUso wa mtu ni sebule lakini moyo wa mtu ni uvungu."
Ni kweli ujumbe huuNi wachache sana wanao na watakao furahia mafanikio yako, hivyo jifunze kua msiri wa malengo yako, acha maendeleo yajitangaze yenyewe machoni pao
Apumzike kwa amani