myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Apumzike kwa amani
Kuna Nini mkaliAisee
Hamna mkuu...weekend njema kwakoKuna Nini mkali
🙏🤲Siku yako inakuja siku ambayo utatabasamu na kusema hizi ndo baraka nilizokuwa naziomba ASANTE MUNGU
📌📌Usimchukue mteja anayekuja tu kuuliza bei, Kuna siku atanunua yeye au atamleta rafiki yake
Ni kweli ✔️ 😍Usimchukue mteja anayekuja tu kuuliza bei, Kuna siku atanunua yeye au atamleta rafiki yake
🤣🤣Maumivu ya kukosa pesa hayawezi kuwa sawa na maumivu ya mapenzi...
Utachagua upande wako.
Kweli..Humu ndani nilimwakiga yangu
Ya mapenzi yanaliza🤣Maumivu ya kukosa pesa hayawezi kuwa sawa na maumivu ya mapenzi...
Utachagua upande wako.
Asante MunguSiku yako inakuja siku ambayo utatabasamu na kusema hizi ndo baraka nilizokuwa naziomba ASANTE MUNGU
✔️✔️Wema wa mtu hujidhihirisha kwa matendo yake na sio kwa maneno yake sababu maneno ni rahisi kumtamkika kuliko matendo mema kutendeka.
Ujumbe muhimuJambo lolote lenye baraka/ ambalo ndio destiny yako hua lina vita kubwa sana na hii vita sio ya kiroho tu utaiona hata kama mwili, ni vizuri kutumia hekima na kumuomba Mungu pamoja na kuwa na utulivu ili adui asipate pa kukushinda, inaweza kuwa kazi, mahusiano, biashara