Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwaka ndio huo uko ukingoni shukuru Mungu kama lengo lako la huu mwaka limefanikiwa. Mwakani pia uwe na lengo la kutimiza naamini mungu hutusikiliza na kutuwezesha kikubwa ni sisi kujitoa kujituma kwa ajiri ya kukamilisha malengo yetu.
 
Unapozungumza jitahidi tusikie hekima kinywa mwako, unapotenda jitahidi tuone matendo mema ndani yako, unapovaa jitahidi tuone staha kwenye mavazi yako, kila ukifanyacho kiwe katika hali ya uwakilishi wa ujumbe mwema mbele ya macho ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…